Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Hizo hela zitakuwa ziliishia kwenye kulipa wasanii, kufanyia service ma V8 yao na kuwalipa kina mwijaku na Machawa wengine na viongozi wa dini wachumia tumbo
Mbaya zaidi chama cha mapinduzi kinashindwa kujificha kabisa kwa elites, matumizi ya chama makuubwa kuliko serikali inayosimamia ukusanyaji wa kodi na ugawanyaji wa huduma za kijamii kwa hao hao wananchi.
Nakubaliana na wadaj wanaosema kuwa CCM inapendwa na wengi walio na uwelewa mdogo na wa kati while upinzani ulio hai unapendwa na kuwa supported na watu wenye uwelewa wa juu na wenye upendo halisi juu ya nchi yao.
 
Na iyo ndio disadvantage ya demokrasia-wengi wape hata kama hao wengi ni wapumbavu.
 
LAZIMA TUKUBALI KWAMBA CCM NI JANGA KWA NCHI YETU TENA NI KUNDI LA WAUAJI CHA KUSIKITISHA WASIO NA AKILI WANAWASHANGILIA INAUMA SANA.
 
Kwa kifupi anayefadhili Elimu na Afya zetu Watanzania ni Mmarekani.

Nawaonaga Viongozi wa Tanzania ni wapumbavu sana wanapowasemaga vibaya Wamarekani.
Inafaa sasa waanze kuomba misaada kwa hao Waarabu wanaouzia rasilimali zetu.
 
Kweli kabisa mkuu, CCM inazidi kutumia uelewa mdogo wa watanzania wengi kufanya ufisadi wa kutisha
 
Nani alikwambia hiyo misaada inafikia nchi husika kwa 100%
 
C uliona birth day ya huko Dodoma walivotapanya hela? Bado zile Lissu anaziitaga 'pesa za abdul na mama yake'.
 
Kwa kifupi anayefadhili Elimu na Afya zetu Watanzania ni Mmarekani.

Nawaonaga Viongozi wa Tanzania ni wapumbavu sana wanapowasemaga vibaya Wamarekani.
Misaada kutoka kwa Mabeberu sio ya kuendekeza.
 
A
Achaga uongo, fedha kama fedha, BASKET FUND sisi wakaguzi Kila robo mwaka tunakagua, acha kudanganya watu,
Hizi ripoti za robo zinakuwa compiled, na IAG .

Ni fedha kwa maana ya CASH
 
Can you read yourself and hear how you sound ?
 
Wewe unaona milioni 560 dollar ni nyingi sana kwenye idadi ya watu zaidi ya millioni 60. Haifiki hata dolla 10 kwa mtu
Hizo pesa ni pamoja miradi inayo endelea ya dawa nyingi za kinga kama AVR, malaria, mafunzo, nk
 
Uko sawa kweli wewe?

Dollar Million 560 ni ndogo?

Kumbuka hizo hela sio kodi yenu, ni msaada.

Ni nani atakupa msaada wote huo?
 
Kwani doto magari na mwijaku wanasemaje kuhusu wasanii kutengeneza kichuri.
 
Uko sawa kweli wewe?

Dollar Million 560 ni ndogo?

Kumbuka hizo hela sio kodi yenu, ni msaada.

Ni nani atakupa msaada wote huo?
Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20
 
Unavyoongea kama wewe sio Mtanzania.

Mara yako ya mwisho kwenda let alone kushiriki kwenye maandamano ni lini?
 
Ngoja tuone wafadhili wasio matapeli watatufanyia nini.
 
Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20

Kwa hiyo tunahitaji USD Bilioni 10 ili tuwe na huduma bora za afya?

Hapo unahudumia pamoja na mende na wanyamapori au ni binadamu peke yake?

Una elimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…