Mtanzania sio wa kuonewa huruma kabisa.ukipata gap komba kila kitu ata sisi tunaowapinga CCM tunakosea waacheni watunyoshe akili itusogelee..ukienda hospital 90% ya wagonjwa ni shidaa tu wala sio magonjwa ukiwa masikini tegemea utaugua tu kwa sababu hupati lishe bora.na wakiugua wanaenda hospital wanapewa acid ambao wengi wanakata moto ndo maana ata mh aliwashangaa wabongo kupiga kelele kifo cha mtu mmoja au wawili wakati kila siku inakadiliwa watu 6,000 ufariki kwa sababu ya umasikini.