Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

Mtanzania sio wa kuonewa huruma kabisa.ukipata gap komba kila kitu ata sisi tunaowapinga CCM tunakosea waacheni watunyoshe akili itusogelee..ukienda hospital 90% ya wagonjwa ni shidaa tu wala sio magonjwa ukiwa masikini tegemea utaugua tu kwa sababu hupati lishe bora.na wakiugua wanaenda hospital wanapewa acid ambao wengi wanakata moto ndo maana ata mh aliwashangaa wabongo kupiga kelele kifo cha mtu mmoja au wawili wakati kila siku inakadiliwa watu 6,000 ufariki kwa sababu ya umasikini.
 
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.

Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.

Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.
TanzNia kuna majinga 96%
 
Back
Top Bottom