Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanteni.