Nywele ni connection wirelessly au anterna ya taarifa; pia kama IP address/ DNA, hivyo huweza kutumika kukufikia.
Sasa nini kinakufikia? je, ni ubaya au uzuri? Hivyo hutegemea na intention ya muhusika/ mtenda.
Notes za ziada:-
Nywele = Nguvu, Utambulisho, Agano
Kwa Samson, nywele zilisimama kama ishara ya agano lake na Mungu (Nazirite vow).
Kwa lugha ya kiroho:
•Nywele = antenna ya nguvu zako
•Nywele = memory ya lineage
•Nywele = crown ya mtu (crown chakra)
•Nywele = uhuru & nguvu ya ndani
Kuvunja agano/ kunyolewa→ nguvu inapotea.
Issues ninayoiona ni kusema nguvu za kichawi hapo ndio negative negation inaonekana.
Kiuhalisia inapaswa kutajwa kama mlango au portal ambayo inaweza kutumika na muhusika kujiinua au kutumika na mtu mbaya kudhuru.
Maana Nywele hutumika hadi kutengeneza mbolea na material ya nyuzi fulani hii pia tutaita uchawi. Tunapotumia uchawi watu hupuuza kujua kwa kina juu ya uwezo walionao au uwezo wa kitu husika na huleta tafsiri yakufikirika na kufanya watu kuogopa from first impression.