lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 928
- 2,006
Upo sahihi Ila endapo utafanya redirecting of energy to something else
Kivipi mkuu
Upo sahihi Ila endapo utafanya redirecting of energy to something else
Kivipi mkuu
Unaujua Mwisho wa Mfalme Suleiman....!?
Mwisho wake ulikua mbaya sana kuliko hata mwisho wa Daudi Baba yake.
Nilishawahi kukaa mwaka mzima bila sex na hakuna jipya, acha bangi mtoa mada
Mbona mapadri hawapati huo udhaifu.Utakuwa kichaa psychosis,my dad is now in serious pyschosis hakufanya since 2006 after divorce to date.
N.B:huu upuuzi usithubutu sex ipo na ina maana kubwa sana kumaintain akili na mwili.
Hivyo ndiyo ilivyokua....!Ninachofahamu kutokana na maandiko, wale wakeze baadaye walikuja kuwa mwiba kwa Suleiman, ile hekima aliyokuwa nayo awali ikapotea, ukamilifu wake wa awali ukayeyuka na akamhasi Mungu aliyekuwa akimuamini, na baada ya kufariki ile milki ya ufalme ikatawaliwa na aliyekuwa mtumishi wake.
Naomba unipatie elimu zaidi mkuu, sio mjuzi sana katika nyanja hii.
Ilikuwaje?
Ki-vipiNi kweli. Na hii kanuni ina effect kubwa kiroho kwa mwanaume kuliko mwanamke.
Unataka kusemaje sasa…
Nimewahi kukaa miezi mitatu bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke yoyote, sijawahi kufeel chochote, zaidi ya kutokuwa na hamu ya tendo.Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanteni.
Unashida kaka na unakula vizuri unapata usingizi vizuri kabisaNimewahi kukaa miezi mitatu bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke yoyote, sijawahi kufeel chochote, zaidi ya kutokuwa na hamu ya tendo.
Battery LowNimewahi kukaa miezi mitatu bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke yoyote, sijawahi kufeel chochote, zaidi ya kutokuwa na hamu ya tendo.
Sawa Mwamposa.Sijui wewe ni nani....! Ila umeongea jambo la kiroho, na sio Kiroho tu, ila ni Kanuni Moja wapo ya kuendelea kuwa na Nguvu ya Mungu kwa Pastors, Prophets n.k hata Kwa Watu wa kawaida.
Binafsi nilishazuia Mawazo ya Ngono na Tamaa ndani yangu, hayapo kabisa, Mwanzoni ilikua Vita ndani yangu, na nikashinda. Na ndiyo nilikuja kujua Kwa Nini Yesu hakuoa.
Ulichokisema Mimi nakiishi, na nashuhudia matokeo yake sawa na ulivyosema.
😂😂😂Sawa Mwamposa.
Jibu unalo na kuongezea wengi wao ni wapiga nyet* wazuri tu kuna kashfa ishatokea vatican kwamba wanaongoza kuangalia porno.Mbona mapadri hawapati huo udhaifu.
Angalizo, usije na nadharia kwamba huwa wanafanya kwa kificho.
Achana na hao wazungu wa Vatican, lete mfano kutoka hapa Tanzania kama unao, usiniletee story za vijiweni.Jibu unalo na kuongezea wengi wao ni wapiga nyet* wazuri tu kuna kashfa ishatokea vatican kwamba wanaongoza kuangalia porno.
Niliamua kujikontroo kukaa muda wa mizei 6 bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke nikaahirisha kufanya hivyo baada ya kuona naenda kuathirika kisaikolojia miaka ijayo.Unashida kaka na unakula vizuri unapata usingizi vizuri kabisa
Mimi naamini uponyaji hutokea ila hutofautiana baina ya mtu na mtu, na hii hutegemea umeathirika kwa kiasi gani NOFAP ni kweli na ina saidia sana sana na ni ngumu kujigundua ama ona mabadiliko chanya kama hufwatilii kwa ukaribu.Niliamua kujikontroo kukaa muda wa mizei 6 bila kupiga nyeto Wala kumicha mwanamke nikaahirisha kufanya hivyo baada ya kuona naenda kuathirika kisaikolojia miaka ijayo.
Hapa kwetu hatuna mapadri sasa mtu ana mke na watoto na kama unajibu lako baki nalo tafuta mwenzio muanzishe mdahalo.Achana na hao wazungu wa Vatican, lete mfano kutoka hapa Tanzania kama unao, usiniletee story za vijiweni.