DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Upo sahihi Ila endapo utafanya redirecting of energy to something else
🤣🤣🤣🤣Sasa kama ukiacha sex na ni mwongo, mlevi, mfitini, sadaka utoi, ibada uendi, wewe ni wa kazi gani? Sex Yenyewe umeacha sababu ulikuwa husimamishi??!!!!
Alikua anawaangalia wewe ungeweza?Mna uhakika alikua anawala wote? Maana inasomuliwa kuwa na wake 700 na michepuko 300 ila watoto 13. Sio kwamba alikuwa nao akiwatazama tu?
Usioe fanya uoleweUpo sahihi
Unamaanisha ninUsioe fanya uolewe
Usioe ili uolewe usiwe unamwaga ila unamwagiwa utakua na nguvu sana maana hufanyi mapenzi ila unafanywa mapenziUnamaanisha nin
Yawezekana ni kweli, wa kwanza Yesu, wa pili isack newton, wa tatu Karl max na wengineo wengi, hata mapadre walioshika Sheria zao kweli huwa Wana akili sanaHawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanteni.
Et jamani dhambi zenyewe zipo nyingi unajichagulia tu mwenyewe, unaweza acha tu hizo zingine ukabaki na sex. SEX FOR LIFESasa kama ukiacha sex na ni mwongo, mlevi, mfitini, sadaka utoi, ibada uendi, wewe ni wa kazi gani? Sex Yenyewe umeacha sababu ulikuwa husimamishi??!!!!
SawaUsioe ili uolewe usiwe unamwaga ila unamwagiwa utakua na nguvu sana maana hufanyi mapenzi ila unafanywa mapenzi
Nina uwezo mkubwa sana ya kuishinda tamaa ya ngono. Wanawake 10000 ilitakiwa hata 50 wampatie mtoto mmoja mmojaAlikua anawaangalia wewe ungeweza?
Bora bangi hujaiandikaSasa kama ukiacha sex na ni mwongo, mlevi, mfitini, sadaka utoi, ibada uendi, wewe ni wa kazi gani? Sex Yenyewe umeacha sababu ulikuwa husimamishi??!!!!
Nimeoa Mkuu, na nashiriki na Mwenzangu, kile ninachofanya ni kuzuia Mawazo ya Ngono...!Oa mkuu, ohooo
Sahihi, wako Pastors Wakubwa usiku kuamkia Jumapili ya Huduma halali Mkewe, wanakutana Kanisani, na kama akiwa na Mikutano Mikubwa halali na Mkewe siku 3 kabla..!Kuna pastor mmoja mnijeria nilimsikia anasema yeye halali hovyo na mkewe, akatoa mfano wa Ahsuero na Esta akasema zamani wafalme walikua wanawaita wake zao kulala nao kwa siku maalum, sio kila siku tu. Na hiyo ndio ilikua siri ya nguvu zao.