Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

1000277564.jpg
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.

Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miu
Asanteni.
Hapo sawa mkui
kinachotokea, unaepuka mikosi na roho chafu,, ila kama mwanamke msafi hana mikosi hana roho chafu mambo ni mswano,
 
Sulemani alikua anatiiwa mpaka na majini na alikua anatomba wanawake 1000

1 Wafalme : 4 : 29

Mungu akampa Sulemani hekima, na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ulioko pwani.

Hekima aliyopatiwa ndiyo iliyomsaidia kuweza hata kuwamudu hao wanawake 1000. Mkuu, wewe ukisema uoe hata wanawake 4 tu utafungwa kamba😁.
 
Mwanaume kumwaga shahawa ni kutoa energy katika mwili wako. So physically, mwanaume ambaye hajamwaga shahawa, ana nguvu zaidi kuliko yule anayemwaga.

Upande wa michezo wanajua hili, wacheza mpira, boxing, wanariadha n.k huwa hawasex wakijua mbeleni wana kazi.

Kutomwaga shahawa ubongo unapokea hali ambayo haijaizoea, hii inakupa stamina ndani ya nafsi kwamba kuna kitu nimekizoea lakini nimeweza kukishinda.

Sasa hapo ndo Spiritually mtu anayependa maombi ndo anakuwa na stamina/confidence zaidi akishajua kuna kitu amekishinda. Hii confidence ndo shetani mwenyewe anakuona wewe ni mtu mwingine, na hii confidence ndo inakufanya uone kila kilicho mbele yako inawezekana kukiacha.
 
Kuna pastor mmoja mnijeria nilimsikia anasema yeye halali hovyo na mkewe, akatoa mfano wa Ahsuero na Esta akasema zamani wafalme walikua wanawaita wake zao kulala nao kwa siku maalum, sio kila siku tu. Na hiyo ndio ilikua siri ya nguvu zao.
Hata sasa bado wafalme wapo hivyo pia, nafkiri wanashauriwa kutokaa na wake zao muda wote.
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.

Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.

Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.

Asanteni.
😎😎😎 Umeonge ukweli, kuna nguvu flani una feel tena tangible kabisa ukikaa mbali na ngono..

C.c Binti wa zamani au nasema uowongo maMtu 😅
 
Forbidding marriage is a false teaching, doctrine of demons.

Even the Jewish Priests who entered the temple where the Lord's glory the Shekinah glory arrived, where not just anyone could enter, and who had to follow strict hygiene protocols, were married with children.

Hizi nguvu zinazoogelewa ni nguvu gani, za kimwili, kwamba utaweza kubeba Lory? Za kiakili kwamba utakuwa the next Isaac Newton?

What empowers someone spiritually / intellectually who doesn't marry / abstains is not the abstinence, its what he does during abstinence: spending time with the Lord, and the Lord in return rewards him. hebrews.11.6.

All of the widely known Intellectuals + faithful spiritual men I know (kina Chuck Missler, Dr. Michael Heiser, Dr. James Tour etc) have wives and children.

Isaac Newton who didn't marry, was a devout Christian, who made great discoveries in his early 20s alone. (I like that he was also interested in the time of Christ return, he calculated it to be around 2060 😁)

😂 👇🏾


View: https://youtube.com/shorts/2z9hRvxqO_0?si=ybUvHo56aMXemcp7

By the way I genuinely beleive the scientists these days dont make as many discoveries as the scientists in past centuries becasue of all the group thinking / peer review crap.

If you're looking for greater things (I don't mean money, you can go be a pornstar for that) appeal to the heavens, to the LORD. If you can stay celibate for this purpose, even better!

" I want you to be free from the concerns of this life. An unmarried man can spend his time doing the Lord’s work and thinking how to please him.

But a married man has to think about his earthly responsibilities and how to please his wife.

His interests are divided. In the same way, a woman who is no longer married or has never been married can be devoted to the Lord and holy in body and in spirit. But a married woman has to think about her earthly responsibilities and how to please her husband."
1corinthians.7.32-34.NLT
 
Back
Top Bottom