Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Magenious wakina Elon wanna watoto MPAKA unashanga wanafanya zinaa balaa muangalie mmiliki WA telegram ana madem MPAKA amewasahau ana watoto ZAID ya mia. Zinaa mbaya SANA kwa adhabu ya MUNGU ILA haiusiani na akili..

Itaendelea.....
 
Sijui wewe ni nani....! Ila umeongea jambo la kiroho, na sio Kiroho, ila ni Kanuni Moja wapo ya kuendelea kuwa na Nguvu ya Mungu kwa Pastors, Prophets n.k hata Kwa Watu wa kawaida.

Binafsi nilishazuia Mawazo ya Ngono na Tamaa ndani yangu, hayapo kabisa, Mwanzoni ilikua Vita ndani yangu, na nikashinda. Na ndiyo nilikuja kujua Kwa Nini Yesu hakuoa.

Ulichokisema Mimi nakiishi, na nashuhudia matokeo yake sawa na ulivyosema.
Kuna pastor mmoja mnijeria nilimsikia anasema yeye halali hovyo na mkewe, akatoa mfano wa Ahsuero na Esta akasema zamani wafalme walikua wanawaita wake zao kulala nao kwa siku maalum, sio kila siku tu. Na hiyo ndio ilikua siri ya nguvu zao.
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.

Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.

Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.

Asanteni.
Ni kweli,,,ndo manake YESU alikuwa na nguvu za ajabu!!
 
Sijui wewe ni nani....! Ila umeongea jambo la kiroho, na sio Kiroho, ila ni Kanuni Moja wapo ya kuendelea kuwa na Nguvu ya Mungu kwa Pastors, Prophets n.k hata Kwa Watu wa kawaida.

Binafsi nilishazuia Mawazo ya Ngono na Tamaa ndani yangu, hayapo kabisa, Mwanzoni ilikua Vita ndani yangu, na nikashinda. Na ndiyo nilikuja kujua Kwa Nini Yesu hakuoa.

Ulichokisema Mimi nakiishi, na nashuhudia matokeo yake sawa na ulivyosema.
Oa mkuu, ohooo
 
mkuu mbona tunakaa zaidi ya hiyo 40 na hamna lolote?
Mtoa mada kuna kuna kitu ahakijui. Sex ni ka fragment kadogo kamojawapo ka kurudisha nguvu yako ya asili. Ili uwe na nguvu kuna mambo mengi ya kuacha na ya kufanya, kuacha sex ni moja wapo tu, sobukiacha na ukaendelea kufanya mengine badovyata drain nguvu yako.
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Uongo sana Sulemani alikua na nguvu balaa wake 700 na michepuko malaya waiopungua 300 wa kuwakaza anavyotaka, tusilishane upepo mzee
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.

Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.

Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.

Asanteni.
kwani kufanya mapenzi kihalali ni dhambi/ushetani??
 
Alafu nimewahi kuhisi kitu kama hichi kwenye mwili wangu leo ndio umenifungua macho zamani nilikuwa mtu mwenye bahati sana pesa zinakuja mpaka nashangaa nikifanya kitu kidogo kinafanikiwa balaa ila nilivyoanza kujihusisha na wanawake kadhaa mambo yamebadilika biashara za kusua sua pia sina bahati ya kupata pesa hovyo na madili kama zamani hichi kitu huenda wakapinga lakini kuna ukweli kufanya mapenzi kuna namna kunachafua mwili wako sijajua mpaka kwa mke au ni wapenzi tu lakini ni ukweli unachokisema
 
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.

Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.

Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.

Asanteni.
ngoja niende MARS nijaribu hiyo kitu....hapa duniani bila kuchakata sio rahisi,
unajizuia mchana usiku unachakata kwenye ndoto :uwotWater:
 
Una MANISHA Elon Hana akili muanzishaji WA telegram Hana akili au unamana ustarabu kama ni akili we unamzidi Elon akili NDO man ccm inatutawala sikutofautishi na mwanasheria FLANI WA SEHEM flani
😂😂😂 Nimekuelewa kijana, speed yako ni kubwa sana, hunamauda wa kutafuna unameza tu. Unakusanya mapera na machungwa unaeeka kapu moja. Sawa mkuu umetisha sana😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom