Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
- Thread starter
- #101
Hujawahi kuona kuna baadhi ya watu wakikutana na wanyama uso kwa uso wanyama hao wanakimbia wenyewe haijalishi uhatari uliowahi kuusikia kuhusu wao?Hakuna kiumbe yeyote atakayekutikisa?
Hivi unawajua wanyama pori wewe?
Unamjua mbogo?, Chui?