Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Tokea 2012 niliacha kusex na mtu yeyote. Hadi 2016 nikapata danganya toto tukaachana 2018 hapo nilikaa tena 2019 hadi 23 nikapat ajali fulani nikaa mwenyewe tena hadi 2025 sijawa mtu .
Hyrax
 
Maisha yenyewe magumu haya stress kibao et na kutomba usitombe ili uweke sasa?
Maraisi wa mataifa makubwa, wafalme wote wana watoto...sasa ww usitombe ili uwe nani zaidi yao?
Theory nyingine ni upumbavu tu
 
Usioe ili uolewe usiwe unamwaga ila unamwagiwa utakua na nguvu sana maana hufanyi mapenzi ila unafanywa mapenzi
Mapadri huwa hawaoi,unaonaje ukawaambie hivyo kule kasoni kwao?
 
Magenious wakina Elon wanna watoto MPAKA unashanga wanafanya zinaa balaa muangalie mmiliki WA telegram ana madem MPAKA amewasahau ana watoto ZAID ya mia. Zinaa mbaya SANA kwa adhabu ya MUNGU ILA haiusiani na akili..


Itaendelea.....
Hauna akili wewe kichaa


Elon Musk Huwa anafanya Semen Retention mjinga wewe. Inabidi tutumie lugha ngumu ili tuwaeleweshe vichaa kama nyie.



View: https://youtu.be/ZFYRfryUECE?si=HHsoqTRyby3bAOIm
 
Watoto WA wasimbe bhana ni kuchambana utazan KILA MTU WA uswahilini alafu una mdomo mchafu KUBWA jinga WEWE huwezi mtukan MTU hajakutukana mi NME ONGEA kistaarabu KWAN ungenijib kistaarabu unge harisha au KAZI mdomo mchafu tu half UNAWEZA Kuta ETI nawe baba una mtoto nyumbani SI Bora niwe yatima
 
Hakuna shida kuamini kila kitu ila mjifunze kuchuja sio kila jambo lililosemwa lina ukweli mengine yanatakiwa kujibiwa kisayansi yani na wewe ukafanya tafiti zako,sasa bila ku argue kwa fact basi unapotosha
Si umeona Mkuu majibu ya kisayansi haya hapa
1000277564.jpg
 
Mapadri huwa hawaoi,unaonaje ukawaambie hivyo kule kasoni kwao?
Hujui unaachoongea wewe Mbwea, sitaki nikujibu hapa ngoja nikuache na ujinga wako najua unachotaka nikujibu
 
Sasa hilo zoezi la kutofanya mapenzi unalikwepaje? Maana issue ni kufanya mapenzi
Kuna Vitu viwili mada imezungumza, kuhusu kufanya Mapenzi, na Cha pili, kuwa na Mawazo ya kufanya Mapenzi.

Kuna Watu mawazo ya kufanya Mapenzi yanawatawala Kwa muda mrefu kuliko hata ule muda anatumia kufanya Mapenzi, Yani mtu anawaza Ngono muda wote.

Sasa kwangu nime block Mawazo na hisia ama tamaa za Ngono, kiasi nikimuona Mwanamke Barabarani hata awe vipi, nazuia zile hisia za Ngono, baada ya Vita vingi ndani yangu Sasa nimefanikiwa, Wale Wanawake wote niliokua nao kabla hata pale waliponitafuta Kwa ajiri ya kufanya nao Ngono, Mimi ndiyo niliwaambia Sasa hapana.

Ila nashiriki Tendo na Mke wangu....!

Nikwambie kitu Mkuu, Hatima za Watu wengi ambao walitakiwa wawe Wakuu sana, hatima zao ziliondoka Kwa sababu ya kulala na Kila Mwanamke anaekuja mbele Yao, Watajiona wao ni Vidume kama Vijana lakini Jamii vile inajua Historia zao, baadaye wangesema yule jamaa hakua hivi, alikua mtu sana sema aliwapenda Wanawake na Wanawake wakamfirisi, Sasa Jamii inaongea hivi Kwa sababu Kwa sehemu kubwa hawajui mambo ya Kiroho...!

Sasa ukija kiroho Tafasiri yake ni kwamba Wanawake wanamfata Mtu Kwa sababu ya Hatima aliyonayo kwenye Ulimwengu wa Roho, hata kama macho ya kawaida hayaoni pale Wale Wanawake wanapofanikiwa kuharibu hatima yake, kwenye Ulimwengu wa Nyama Jamii inasema Amefirisika Kwa sababu pesa yake yote alikua anahonga Wanawake.
 
Magenious wakina Elon wanna watoto MPAKA unashanga wanafanya zinaa balaa muangalie mmiliki WA telegram ana madem MPAKA amewasahau ana watoto ZAID ya mia. Zinaa mbaya SANA kwa adhabu ya MUNGU ILA haiusiani na akili..


Itaendelea.....
Elon sio genious ila anatumia watu smart kufikia malengo yake.
 
Back
Top Bottom