kambaSijui hata nijibu kitu gani
kamba ndo ninikamba
kwa kupenda nyapu hko sidhani kama una malinda wew unawez kuta yasha chanuliwaBora nikose kula, lakini sio NYAPU.
wew umejuaje au ndo unatak kupampiwaElon sio genious ila anatumia watu smart kufikia malengo yake.
👍Ukivuka hiyo stage ya hasira na kuchanganyikiwa ndio mwili wako unaingia kwenye new state of Power ambayo hakuna kiumbe yeyote atakaye kutikisa nawe ukatikisika.
Ni nadra kumkuta cr7 anaongelea taarabu..kwa kupenda nyapu hko sidhani kama una malinda wew unawez kuta yasha chanuliwa
sawa bimkubwa hauna utofaut na lil nas mana ngonjela zenu zina fanana sana.Kama unataka BASHA hapa hupati, mie nimesema napenda NYAPU, sio MINDUKU, tafuta bwana sehemu nyingine.
Acha huo mchezowew umejuaje au ndo unatak kupampiwa
Ni kweli 100%...Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanteni.
Nikikosa unyumba wiki mbili tu nachanganyikiwa hasira za hapa na pale?😀 nakua mtu sieleweki
Nilishawahi kukaa mwaka mzima bila sex na hakuna jipya, acha bangi mtoa mad
Kuna ukweli ndani yake.Mimi nina miaka 27 tokea nazaliwa hadi kufikia miaka 25 kwelekea 26 ndo nilikutana na mwanamke hata sasa nina miaka 27 tokea nifanye mwaka huo sijafanya tena. Mkuu sikufichi hata ukipanga jambo linatimia pindi Fulani unaweza kutamani kupata kitu na nakipatq bila shida.ila tokea nigegede MTU kidogo hali ya mwanzo imepungua ingawa now sitaki kujiingiza sana ktk michezo hii hadi wa halali yangu .mkuu zinaa inaangamiza ndoto za wengi kuna watu wana maagano ya ukoo yani ukishagegeda ndo imeisha. Lkn tuombeane pindi Fulani maji yanazidi unga. Hii siyo chai huu ndo ukweli Mimi nimekaa miaka 25 tokea nizaliwe sijamgegeda mwanamkeHawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanten
Unaujua Mwisho wa Mfalme Suleiman....!?1 Wafalme : 4 : 29
Mungu akampa Sulemani hekima, na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ulioko pwani.
Hekima aliyopatiwa ndiyo iliyomsaidia kuweza hata kuwamudu hao wanawake 1000. Mkuu, wewe ukisema uoe hata wanawake 4 tu utafungwa kamba😁.