Ukivuka hiyo stage ya hasira na kuchanganyikiwa ndio mwili wako unaingia kwenye new state of Power ambayo hakuna kiumbe yeyote atakaye kutikisa nawe ukatikisika.Nikikosa unyumba wiki mbili tu nachanganyikiwa hasira za hapa na pale?😀 nakua mtu sieleweki
Jee unaweza kutoa ufafanyzi zaidi kwa hii maada yako mkuu ningependa kujua zaidi ya apoHawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya namna yoyote ile automatic mwili wako unaingia kwenye state iliyojaa nguvu zisizo za kawaida huwa kama miungu watu wanaoishi duniani.
Kama unabisha acha kufanya mapenzi kabisa kwa siku 40 iwe kwa mawazo au kwa matendo halafu baada ya siku 40 kuisha utaniambia kitu gani kimetokea kwenye mwili wako, nafsi na roho yako.
Asanteni.
Nilishawahi kukaa mwaka mzima bila sex na hakuna jipya, acha bangi mtoa mada
Kweli kabisa mkuu hii umeongea wewe ila hata mimi nakuwa katika hali hiyo.asanteNikikosa unyumba wiki mbili tu nachanganyikiwa hasira za hapa na pale?😀 nakua mtu sieleweki
Kweli kabisa atoe ufafanuzi zaidiJee unaweza kutoa ufafanyzi zaidi kwa hii maada yako mkuu ningependa kujua zaidi ya apo
Ulevi umehusikaje hapo bwashee?Sasa kama ukiacha sec na ni mwongo, mlevi, mfitini, sadaka utoi, ibada uendi, wewe ni wa kazi gani? Se. Yenyewe umeacha sababu ulikuwa husimamishi??!!!!
Hulali?Nilitest hili balaa,dah si mchezo unakuwa kama umeogeshwa kahawa.
Ulevi umehusikaje hapo bwashee?