Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Mmh mbona ushauri kwa watoto huu,Kanuni ni moja usiishi juu ya uwezo wako kutaka kuonekana mwema na mzuri kwa watu wengine
 
Hizi zoote mbwembwe! Mwanaume hatakama unanuka kama beberu ukiwa na mpunga utapakatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…