Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Huduma huwa ni matokea ya kutoka moyoni
Kama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisa
 
Subutu yake Hapa ni mwisho wa reli 😁

Cc Smart911
ha ha ha expert
ex.jpg
 
Kama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisa
Mimi mpaka na uzee wangu huu, wadada wananihonga
 
Hayo yooote ni kuhangaikia papuchi tu ambayo badae wanatuuzia wahuni kwa afu 3 tu.
 
Mwanaume unahongwa vipi huoni aibu?
Mgawanyo wa majukumu, ni muhimu pia mwanamke kutumia sehemu ya pesa zake kulinda mahusiano kuliko yeye tu kutegemea hela za mwanaume ndio zimuwezeshe kuishi mjini.​
 
Sio kitu cha ajabu mwanamke kutumia pesa yake kwa mwanaume anayempenda. Inatokea sana tu. Lakini ile kujiweka ahongwe kama unavyowafundisha wenzako...mna umama ndani yenu.
 
Back
Top Bottom