Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
😁😊Ahsante kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😊Ahsante kwa taarifa...
Kama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisaHuduma huwa ni matokea ya kutoka moyoni
Daah aisee tabu kwelikweli 😂😂Zinatushughulisha sana 😀 😀
Mimi mpaka na uzee wangu huu, wadada wananihongaKama ni ya kutoka moyoni usingewapanga wenzako wawe hivyo ulivyowaambia. Waache wenyewe waone kama huyu anastahili kuhudumiwa na huyu hastahili. Unawafundisha wao ndo wahongwe...nyie vijana wa siku hizi useless kabisa
Kwa lugha nyingine ni kwamba umeniweka kwenye kichupa cha energy...
Sssaaasssaa je! Kwangu huchomoki ng'o😁Kwa lugha nyingine ni kwamba umeniweka kwenye kichupa cha energy...
Kulowa na jinsi ya kijani hell no😂😂😂😂Usife na wala usilowane 😀
Dah!! Uzuri wake najua nipo safe house...Sssaaasssaa je! Kwangu huchomoki ng'o😁
We unapenda ya rangi gani?Kulowa na jinsi ya kijani hell no😂😂😂😂
💃💃💃💃🕺Dah!! Uzuri wake najua nipo safe house...
Siyo zile za serikali hapana, zile za private...
Huna tofauti na demMimi mpaka na uzee wangu huu, wadada wananihonga
Muhimu kuzingatia hiiDah!! Uzuri wake najua nipo safe house...
Siyo zile za serikali hapana, zile za private...
Huo ni mtazamo tuHuna tofauti na dem
Mwanaume unahongwa vipi huoni aibu?Huo ni mtazamo tu
Blue (dark na light), nyeusi na faded grey.We unapenda ya rangi gani?
Kwa hiyo siku hizi mnataka kupewa bure kabisa na haya hamuoni 😅Huduma huwa ni matokea ya kutoka moyoni
Mwanaume unahongwa vipi huoni aibu?
Sio kitu cha ajabu mwanamke kutumia pesa yake kwa mwanaume anayempenda. Inatokea sana tu. Lakini ile kujiweka ahongwe kama unavyowafundisha wenzako...mna umama ndani yenu.Mgawanyo wa majukumu, ni muhimu pia mwanamke kutumia sehemu ya pesa zake kulinda mahusiano kuliko yeye tu kutegemea hela za mwanaume ndio zimuwezeshe kuishi mjini.