Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Yote tisa nasema tena yote tisa
Kumi sasa hii ni kwa wanaume wote hapa nalenga wale wenye 6+" Hakikisha ukipewa mbususu japo kwa bahati mbaya fanya kama hujawahi fanya na kama hutawahi fanya tena kisha kausha usipige wala kupokea simu tena japo kwa miezi miwili.

Uone mrejesho wake,, narudia tena kusema kama Umejaaliwa 6+" pamoja na mapafu ya mbwa shukuru sana kila iitwapo leo hakuna zawadi kama hiyo hapa duniani kamwe..

Sio magari wala majumba
Inasaidia sana, usifeli kwenye shoo
 
Nimesoma vipengele viwili vya kwanza, Nika Cheka Sana, this is total bullshit! Ngozi inukie pesa, kwa kukesha kwa mwamposa na kapola! C Mon dude, surely ur life ambition can not, should not be to attract women, and being womanizer!
Even our own Diamond of WCB,with all the riches he has managed to accumulate, does not go out fucking any creature with skirt!
For young people create wealthy(don't ask me how, am a bodaboda rider), pesa ni muhimu Sana, women, and sweet staff will come, but let it not be the driving force for you to create money! Life is more than that!
Kuna vijana kibao kitaa, hawana ajira, tengeneza ajira kwa ajili yao
Maisha ya mwanadamu ni miaka 80, ikizidi hapo ni bahati; maisha ni kama 'game' leo upo kesho haupo; jitahidi kuishi kwa furaha uwezavyo.
Swali, ni kipi kinachokupa wewe furaha zaidi asilimia 150% (extra ordinary)?​
 
Yaani mimi lazima nikuombe utake usitake. Kama hujiongezi kwa vipesa vya hapa na pale au zawadi ndogo ndogo my friend ujue kuna mwingine tu ambae anafanya hivyo kwangu.
Nature ya mwaaume ni kuhudumia..ipo hivyo kwa upande wangu na itaendelea kuwa hivyo milele na milele amina. Hutaki...unasepa tu kiroho safi wala sikuulizi
Lakini tayari ushakula de Libolozi? Inatosha hata ukisepa maana ushapata faida ya kuonja show ambayo hutaionja sehemu..
 
😅😅😅😅😅hapa hata uwe na nywele safi hadi ubongo uonekane . Kama hutoi hela hakuna atakayekuhitaji.
Una maoni gani kwa huyu..
dekezwa.jpg
 
Yaani nimpende mtu ambae hawezi kuninunulia hata vocha? Ili iweje?
Mwanaume lazima uwe na kitu hata kama ni kidogo ndo utapendwa...tusidanganyane hapa eti huna kitu kabisa upendwe.
Nyie ndio wale waume zenu wakilazwa hospitali, mnawakimbia.
 
Mkuu zile za mr ma nguruwe sijui dr ma nguruwe yule wa dodoma ulimsikia alipotelea wapi???noma sanaaaaa hawa watoto wakali/pisi kali tumekuachia ww na HARMONIZE
Hawa ni wabata tu, ukiwaweka ndani ni mtihani
 
Back
Top Bottom