Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Endelea kula vichwaHizi sifa zote ni mm kabisa aisee
Cc BICHWA KOMWE - na komwe lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kula vichwaHizi sifa zote ni mm kabisa aisee
Cc BICHWA KOMWE - na komwe lako
Smith nae bwana sasa analia nini wakati mademu wapo wengi na yeye hela anayoSmith ndio anaelewa nini kinamtesa sasa wewe endelea kusema wa kawaida wakati mwenzio anamwaga machozi kila leo.
😂 Utoe machozi saa ngapi wakati akili yako muda wote inawaza hayo mamizigo.Mfano mimi na wewe sitatoa machozi
Ndio, mwanaume muhimu kujipenda hata kama unafanya kazi ya kuchafuka muda mwingi ukimaliza oga ujiweke safi.Ok noted so pamoja nanhela lazima tuwe smart au sio
😂 Mimi na wewe hatujui.Smith nae bwana sasa analia nini wakati mademu wapo wengi na yeye hela anayo
Jinsi ya kijaniSuruali ya kijani.
Unaweza kuwabahatisha kule eskotiiii, ikiwezekana unaweza kumsafirisha toka sehemu/nchi moja kwenda nyingineMkuu Equation x Embu endelea kuweka tupicha picha😆 kuna picha mbili umetupia hapa ndio mambo yangu hayo. Au hata kama una namba za simu za wadada au mashangazi wa designs hizo embu nitupie inbox...mimi ndio mambo yangu hayo😂😂😂
Mwee hiyo hapana.Jinsi ya kijani
Itakiwa bidada kwa mauno yuko njema sana😂 Mimi na wewe hatujui.
Demu anamuwaza tupaki, labda jamaa alikuwa na shoo kali kuliko aliyepo.Smith nae bwana sasa analia nini wakati mademu wapo wengi na yeye hela anayo
Tupac kapiga pale?Demu anamuwaza tupaki, labda jamaa alikuwa na shoo kali kuliko aliyepo.
Sehemu za kunenepesha zipo, utaenda uturuki mara moja 😀😂 Utoe machozi saa ngapi wakati akili yako muda wote inawaza hayo mamizigo.
Ndio, na katika malalamiko ya jamaa, inasemeka demu alimwambia 'live' anamuwaza msela.Tupac kapiga pale?
Nitakuletea kama zawadi tarehe 14Mwee hiyo hapana.
Aliwah kupigwa miracle watts na miracle ni wa moto, kwanza hata jlo ni mzuri kinomaa... at 55 yuko hivi alivyokua mdogo je....Diddy katika kumfahamu kwangu sijawah ona ana mwanamke aina hii, inawezekana kwake wale kina Cassie, Jenny ndio pisi kali. Sasa unataka wote mpende hayo mamizigo alafu sie vimbau mbau nani atupende?