Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Hizi sifa zote ni mm kabisa aisee
Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe. Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako. Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi. Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo. Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu. Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae. Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k Achana na wanawake wanao omba omba hela. Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.
Cc BICHWA KOMWE - na komwe lako