Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Kikubwa ni kuwa tumpe Mama samia ushirikiano maana yeye ndiye rais wetu.
 
Yeye mwenyewe alikuwa mpumbavu na mshamba no. 1
 
Huyu tulie nae kawaongezea buku 2 kwenye mshahara, na halafu buku 2 yenyewe kaitengenezea njia ya KUIPORA kaja na kitu kinaitwa TOZO.

JPM alikuwa real kama nyeusi anakuambia hii nyeusi sio akuambie nyeupe.
 
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Sasa wewebnanwao mna tofauti gani?

Wao wanaonyesha hasira, wewe unamtetea mtu aliyekufa!

😄😄😄 Mnafanana mkuu.
 

..MUUAJI ukimlinganisha na mwizi wa vyeti yupi ana afadhali?
 
Hapa unatupiga kamba Mzee, Mwendazake alikuwa anafanya propaganda Wala hakuna ukweli wowote acha ushenzi..

Awamu hii ndio inasema ukweli na infact Rais Samia ni mkweli zaidi ndio maana anawachana mapolisi live,akiwa kwenye ziara haongei chumvi Wala propaganda ndio maana wapumbavu wanakwambia hatymuelewi..

Sababu ni propaganda nyingi na upuuzi walioaminishwa na Mwendazake..
 
na wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.
 
Wewe ni mmoja wa hao waliotajwa kwenye Uzi huu, hata ukasirike vipi, Wewe ni kilaza wa cheti feki
 
na wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.
Kwanza huna ushahidi juu ya hilo kilaza Wewe! Ila ushahidi wa vilaza, vyeti feki, tulishuhudia mkiachia ngazi pumbavu zenu nyingi

La wizi wa kura, lete ushahidi kilaza usiyependa kuambiwa ukweli, licha kwamba mmelitia hasara kubwa sana taifa hili
 
Sijawahi kuwa na cheti fake never,ila yule jamaa yako alikuwa ni Rais mpumbavu aliyetegemea propaganda kuongoza..
Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?

Mmelitia hasara kubwa sana taifa hili, mlikuwa mkifanyia watu oppression ya vichwa badala ya mguu? Pumbavu kabisa!
 
Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?

Mmelitia hasara kubwa sana taifa hili, mlikuwa mkifanyia watu oppression ya vichwa badala ya mguu? Pumbavu kabisa!
Hasara kaleta Mwendazake kwa wizi,ukatili na ushenzi mwingi ambao haijawahi shuhudiwa hapa Tanzania toka 1961 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…