Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM

Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa

Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao

Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!

Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!

Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!

Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hajaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Yeye mwenyewe alikuwa mpumbavu na mshamba no. 1
 
Huyu tulie nae kawaongezea buku 2 kwenye mshahara, na halafu buku 2 yenyewe kaitengenezea njia ya KUIPORA kaja na kitu kinaitwa TOZO.

JPM alikuwa real kama nyeusi anakuambia hii nyeusi sio akuambie nyeupe.
 
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Sasa wewebnanwao mna tofauti gani?

Wao wanaonyesha hasira, wewe unamtetea mtu aliyekufa!

😄😄😄 Mnafanana mkuu.
 
Kupitia suala la vyeti feki na namna watu walivyolipokea imedhihirisha dhahiri kwa namna gani jamii imeangamia kimaadili na wizi kwa kiwango kikubwa........

Watanzania wengi hawaoni haya kuiba na kwao mwizi ni yule aliyekamatwa na ambaye hajakamatwa bado sio mwizi.......

Mtanzania anauchukia wizi au uhalifu akiwa anatendewa yeye lakini haumizwi na uhalifu huo huo akimfanyia mwingine......

Ndio maana leo wadokozi, vibaka, matapeli kwenye kada mbali mbali na wao wako mstari wa mbele kwenye vita cyst ufisadi na ubadhilifu..........

Pamoja na mapungufu mengi ya utawala wa John Pombe Magufuli lakini suala vyeti feki limetuonyesha namna gani tulivyo wanafiki.......

..MUUAJI ukimlinganisha na mwizi wa vyeti yupi ana afadhali?
 
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM

Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa

Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao

Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!

Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!

Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!

Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hajaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Hapa unatupiga kamba Mzee, Mwendazake alikuwa anafanya propaganda Wala hakuna ukweli wowote acha ushenzi..

Awamu hii ndio inasema ukweli na infact Rais Samia ni mkweli zaidi ndio maana anawachana mapolisi live,akiwa kwenye ziara haongei chumvi Wala propaganda ndio maana wapumbavu wanakwambia hatymuelewi..

Sababu ni propaganda nyingi na upuuzi walioaminishwa na Mwendazake..
 
Kupitia suala la vyeti feki na namna watu walivyolipokea imedhihirisha dhahiri kwa namna gani jamii imeangamia kimaadili na wizi kwa kiwango kikubwa........

Watanzania wengi hawaoni haya kuiba na kwao mwizi ni yule aliyekamatwa na ambaye hajakamatwa bado sio mwizi.......

Mtanzania anauchukia wizi au uhalifu akiwa anatendewa yeye lakini haumizwi na uhalifu huo huo akimfanyia mwingine......

Ndio maana leo wadokozi, vibaka, matapeli kwenye kada mbali mbali na wao wako mstari wa mbele kwenye vita cyst ufisadi na ubadhilifu..........

Pamoja na mapungufu mengi ya utawala wa John Pombe Magufuli lakini suala vyeti feki limetuonyesha namna gani tulivyo wanafiki.......
na wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.
 
Hapa unatupiga kamba Mzee, Mwendazake alikuwa anafanya propaganda Wala hakuna ukweli wowote acha ushenzi..

Awamu hii ndio inasema ukweli na infact Rais Samia ni mkweli zaidi ndio maana anawachana mapolisi live,akiwa kwenye ziara haongei chumvi Wala propaganda ndio maana wapumbavu wanakwambia hatymuelewi..

Sababu ni propaganda nyingi na upuuzi walioaminishwa na Mwendazake..
Wewe ni mmoja wa hao waliotajwa kwenye Uzi huu, hata ukasirike vipi, Wewe ni kilaza wa cheti feki
 
na wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.
Kwanza huna ushahidi juu ya hilo kilaza Wewe! Ila ushahidi wa vilaza, vyeti feki, tulishuhudia mkiachia ngazi pumbavu zenu nyingi

La wizi wa kura, lete ushahidi kilaza usiyependa kuambiwa ukweli, licha kwamba mmelitia hasara kubwa sana taifa hili
 
Sijawahi kuwa na cheti fake never,ila yule jamaa yako alikuwa ni Rais mpumbavu aliyetegemea propaganda kuongoza..
Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?

Mmelitia hasara kubwa sana taifa hili, mlikuwa mkifanyia watu oppression ya vichwa badala ya mguu? Pumbavu kabisa!
 
Hasara kaleta Mwendazake kwa wizi,ukatili na ushenzi mwingi ambao haijawahi shuhudiwa hapa Tanzania toka 1961 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-125655.png
    Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom