Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ndio alikuwa Baba wa uongo, Ccm wote mmeoza hamna wa maana huko.Watu wanapenda kusikia uongo mpaka wameajiri chawa wawasifie.
Yeye mwenyewe alikuwa mpumbavu na mshamba no. 1Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hajaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Wakisema mabaya yake mna anza kujiliza aachwe apumuzikeLegacy haipumziki best, ataishi eternal life.
Sasa wewebnanwao mna tofauti gani?Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Kupitia suala la vyeti feki na namna watu walivyolipokea imedhihirisha dhahiri kwa namna gani jamii imeangamia kimaadili na wizi kwa kiwango kikubwa........
Watanzania wengi hawaoni haya kuiba na kwao mwizi ni yule aliyekamatwa na ambaye hajakamatwa bado sio mwizi.......
Mtanzania anauchukia wizi au uhalifu akiwa anatendewa yeye lakini haumizwi na uhalifu huo huo akimfanyia mwingine......
Ndio maana leo wadokozi, vibaka, matapeli kwenye kada mbali mbali na wao wako mstari wa mbele kwenye vita cyst ufisadi na ubadhilifu..........
Pamoja na mapungufu mengi ya utawala wa John Pombe Magufuli lakini suala vyeti feki limetuonyesha namna gani tulivyo wanafiki.......
Hapa unatupiga kamba Mzee, Mwendazake alikuwa anafanya propaganda Wala hakuna ukweli wowote acha ushenzi..Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hajaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Makosa hayashindanishwi kwa ubora bali kwa madhara.......MUUAJI ukimlinganisha na mwizi wa vyeti yupi ana afadhali?
na wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.Kupitia suala la vyeti feki na namna watu walivyolipokea imedhihirisha dhahiri kwa namna gani jamii imeangamia kimaadili na wizi kwa kiwango kikubwa........
Watanzania wengi hawaoni haya kuiba na kwao mwizi ni yule aliyekamatwa na ambaye hajakamatwa bado sio mwizi.......
Mtanzania anauchukia wizi au uhalifu akiwa anatendewa yeye lakini haumizwi na uhalifu huo huo akimfanyia mwingine......
Ndio maana leo wadokozi, vibaka, matapeli kwenye kada mbali mbali na wao wako mstari wa mbele kwenye vita cyst ufisadi na ubadhilifu..........
Pamoja na mapungufu mengi ya utawala wa John Pombe Magufuli lakini suala vyeti feki limetuonyesha namna gani tulivyo wanafiki.......
Wewe ni mmoja wa hao waliotajwa kwenye Uzi huu, hata ukasirike vipi, Wewe ni kilaza wa cheti fekiHapa unatupiga kamba Mzee, Mwendazake alikuwa anafanya propaganda Wala hakuna ukweli wowote acha ushenzi..
Awamu hii ndio inasema ukweli na infact Rais Samia ni mkweli zaidi ndio maana anawachana mapolisi live,akiwa kwenye ziara haongei chumvi Wala propaganda ndio maana wapumbavu wanakwambia hatymuelewi..
Sababu ni propaganda nyingi na upuuzi walioaminishwa na Mwendazake..
Sijawahi kuwa na cheti fake never,ila yule jamaa yako alikuwa ni Rais mpumbavu aliyetegemea propaganda kuongoza..Wewe ni mmoja wa hao waliotajwa kwenye Uzi huu, hata ukasirike vipi, Wewe ni kilaza wa cheti feki
Kwanza huna ushahidi juu ya hilo kilaza Wewe! Ila ushahidi wa vilaza, vyeti feki, tulishuhudia mkiachia ngazi pumbavu zenu nyingina wizi wa kura unasemaje hapo. je yeye alipata uraisi kwa njia ya haki. Tuanzie hapo wakati tukiwalaumu wenye vyeti feki.
Makosa hayashindanishwi kwa ubora bali kwa madhara.....
Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?Sijawahi kuwa na cheti fake never,ila yule jamaa yako alikuwa ni Rais mpumbavu aliyetegemea propaganda kuongoza..
Hasara kaleta Mwendazake kwa wizi,ukatili na ushenzi mwingi ambao haijawahi shuhudiwa hapa Tanzania toka 1961 👇Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?
Mmelitia hasara kubwa sana taifa hili, mlikuwa mkifanyia watu oppression ya vichwa badala ya mguu? Pumbavu kabisa!