Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Uongo siku zote unatoa ushindi wa muda mfupi(ushindi wa siku moja)
Uongo hufariji kwa muda mfupi sana lkn ukija kujua ukweli utaumia mara mbili yake.Kwao haidhuru kuliko kusubiria ushindi wasiojua utakuja lini.
Yaani umuahidi Mwanamke Maisha mazuri ilhali anakuona apeche alolo alafu kuna mwamba amekuja na Dungujeshi, alafu akusikilize wewe thubutu
Sasa vipi ukimtania tu ana kichwa kipana au sura pana huku unacheka, tena mbele ya wenzake? Aidha vyuoni au kazini?[emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Uongo hufariji kwa muda mfupi sana lkn ukija kujua ukweli utaumia mara mbili yake.
Ni kweli ila kuna chawa mpaka wanΓ keraWengi hufanya hivyo ili Kupata unafuu wa Maisha
Sasa unapataje mbususu ilhali hutaki kujipendekeza?Kuna demu alishaniuliza yeye na demu mwingine nani mzuri ,nikamwambia yeye alifurahi balaa,kwa kifupi mademu wanapenda kusifiwa sana,ujipendekeze sana kwao,na uwe wafuasi wao sana,na ujipendekeze sana ndo watakufurahia kitu ambacho nimeshindwa tangu nije duniani[emoji3][emoji3]Hadi salami demu akikukuta anataka uanze wewe kumsalimia dah si utumwa huo
Ni Kwa sababu wanaume tunapenda kuambiana ukweli Kwa Nia sahihi (logical)ila Wanawake wanaambiwa uongo Kwa Nia sahihi(emotional)Tatizo linazid pale ambapo wanaume tumekaa kikao kuwajadili wanawake wakat wao hawana huo muda.Yan kikao ni cha wanaume ila agenda ni wanawake πππ
Hujui wewe. Hivi kuna watu wanaowajadili wenzao kwenye vikundi vyao, kama wanawake wanavyowajadili wanaume? Fanya tena research yako.Tatizo linazid pale ambapo wanaume tumekaa kikao kuwajadili wanawake wakat wao hawana huo muda.Yan kikao ni cha wanaume ila agenda ni wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa experience yangu ndogo Kati ya wanawake 10 ambao nimewahi kuwatongoza 9 niliwadanganya na nikala mzigoWanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?
1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu
2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3
Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
Aisee hili sikulijua ..kumbe na wao wanatujadili sana? Sema nyuzi zao adim hapa jukwaan ukilinganisha na sisiHujui wewe. Hivi kuna watu wanaowajadili wenzao kwenye vikundi vyao, kama wanawake wanavyowajadili wanaume? Fanya tena research yako.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Vice versa is true....hata nyie mnadanganywa Sana na Wanawake na mnajaa,ukionyeshwa true colors hamtaki.... brother hii kitu ipo pande zote mbili believe me,Kwa experience yangu ndogo Kati ya wanawake 10 ambao nimewahi kuwatongoza 9 niliwadanganya na nikala mzigo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hii haitabadilisha ukweli kuwa wanawake wanapenda kuambiwa uongoWanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?
1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu
2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3
Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
Halafu Kuna mdau hapo juu kasema Wanawake tunaongoza kujadili watu,wakati mfano hai ni hapa JF hamna saa itapita bila mwanaume mmoja kuita kikao wanaume wenzake kujadili Wanawake.....Haki wanaume ni wambeaTatizo linazid pale ambapo wanaume tumekaa kikao kuwajadili wanawake wakat wao hawana huo muda.Yan kikao ni cha wanaume ila agenda ni wanawake πππ