Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Halafu pia wanaume tuache kujimwambafy, wapo wanaume wanaudhalilisha uanaume wetu hao ndio wakudeal nao kwanza kabla hatujawavalia njuga warembo, maua, mawaridi tuliopewa na Mungu tupoze nyoyo zetu.
 
Inategemea na emotional and intellectual intelligence ya mtu anayeambiwa

Mfano Mimi Kuna demu kipindi nasoma a level nilimtokea,alichonijibu ni kuwa "We Kilimba ni handsome,ila huna hel,tafuta Hela kwanza afu Kisha uje"

Iliniuma mwanzoni,ila baadae baada ya kureflect nikaoana she was godamn right

Nukaufanyie kazi ushauri wake
 

Tatizo linakuja pale Mwanaume anapochukulia mambo in negative ways, kimsingi mwanaume kamili hachukulii mambo kihivyo.
Ni Mwanaume mwenye mihemko na asiyetumia Akili ambaye ataona Uzi huu unawasema na kuwakejeli Wanawake.

MTU yeyote mwenye Akili(awe me au me) Uzi huu atauelewa kuwa unaujumbe wa kuwaelewa Dada zetu, lakini pia utawapa Elimu Wanawake wengi na wanaume wachache(kama wewe) mnaotumia hisia kuliko Akili katika kuyaendea mambo.

MTU mwenye Akili huongozwa na Mantiki (logic) katika kuyaendea mambo.
 
Mmeshindwa kabisa kumuelewa mwanamke.

Mwanamke ni kiumbe kinachotaka, kinachopenda na kuuelewa ukweli wakati wote.

Mnapenda kuijua, kuuelewa na kuufahamu ukweli lakini hamtaki kuufanya na kuupewa. Hapo ndio muziki ulipo.

Ni wanawake wachache ambao hawaongozwi na mihemko.
 
Mnapenda kuijua, kuuelewa na kuufahamu ukweli lakini hamtaki kuufanya na kuupewa. Hapo ndio muziki ulipo.

Ni wanawake wachache ambao hawaongozwi na mihemko.
Hapo ndipo unaposhindwa kumuelewa mwanamke.

Mwanamke ana "instincts" tofauti na za wanaume. Ikiwa utamfikiria mwanamke kwa kutumia "instincts" za kiume, hutomuelewa mpaka kufa kwako.

Wanawake wote wana "natural instincts" za umalkia, wanaume hawana hizo.

Anza kwa kuzielewa "instincts" za umalkia utaanza kuwaelewa wanawake.
 
Kwahiyo unamanisha wameumbwa kupetipetiwa na kukuzwa kuzwa Kwa sifa na mbwembwe!?
 
Wana tabia za kingese sana hawa mademu ila mbususu zao bwana...ni tamuuuuuu
 
Ni vile mmeamua kushupaza shingo,,,wewe Mwenyewe Nina uhakika kabisa hupendi kuambiwa Ukweli, lazima utaamia.....unaeza Kuta una pua kubwa,Ila ukiambia Mathias una pua mbaya sana, lazima itakuuma na wakati ni kweli una pua mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…