Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Tuwaambia ukweli msituoe,thubutuuuuu....watoto ficha kwa Bibi huko Kirua VunjoAhaha eti single mma wanafanya nini😲😲😲.
Mbona mnakuwa wakatili kwa watoto jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaambia ukweli msituoe,thubutuuuuu....watoto ficha kwa Bibi huko Kirua VunjoAhaha eti single mma wanafanya nini😲😲😲.
Mbona mnakuwa wakatili kwa watoto jamani?
Ah wee ukiwa na hela mademu ndio wanajipendekeza kwako. Tutafute hela tuu hizi mbususu mbona unazila dailySasa unapataje mbususu ilhali hutaki kujipendekeza?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Ebu nipe mistari ya kusifia ili nikapate tigo ya mremboUkiwasifia mpaka tigo utapata.
Kwakweli wanataka tension kuliko pesa, sema watu hawajui
Sasa kwani kuoelea muhimu wake nini wakati una kazi yako na umeshapata mtoto wako unaleaTuwaambia ukweli msituoe,thubutuuuuu....watoto ficha kwa Bibi huko Kirua Vunjo
Tukisema wapare wachungu hatumaanishi wachaga sio wachungu ila tunamaanisha wapare wachungu zaidi ya wachagaVice versa is true....hata nyie mnadanganywa Sana na Wanawake na mnajaa,ukionyeshwa true colors hamtaki.... brother hii kitu ipo pande zote mbili believe me,
Wewe huna marafiki 3 Tycon?[emoji23][emoji23]
Wapo WA hivyo, lakini tupo ambao hata tushikiwe bunduki Siri hatutoi.
Ila ogopa wanaume wenye Kampani kuanzia marafiki watatu kwendelea, kiasiili ni wambeya kama Wanawake tuu.
Hahahahah play boy kama play boyWewe lazima uwe na uzoefu mkubwa, harakati zako zinakupa ubobezi
AhahahEbu nipe mistari ya kusifia ili nikapate tigo ya mrembo
Mbona Kila siku Samia anasifiwa na maisha yanasonga,we sifia halafu piga zako tako zako maisha yasongeAhahah
Mzee wa tigopesa.
Mwambie tu una kahips matata, una kalio zuri hata kama dogo wewe lisifie.
Yaani wewe ni mwendo wa kusifia kalio tu
Kumbeee....nisifie takooo tuu mwishoe napewa topeAhahah
Mzee wa tigopesa.
Mwambie tu una kahips matata, una kalio zuri hata kama dogo wewe lisifie.
Yaani wewe ni mwendo wa kusifia kalio tu
Inatakiwa isemwe hivyo tangia mwanzoni Sasa mueleweke.Tukisema wapare wachungu hatumaanishi wachaga sio wachungu ila tunamaanisha wapare wachungu zaidi ya wachaga
Umuhimu wake ni kuukeshea😁😁😁😁usijitoe ufahamuSasa kwani kuoelea muhimu wake nini wakati una kazi yako na umeshapata mtoto wako unalea
Kumbe ishu ni kukesha na de liboloz 🤣🤣🤣🤣 aisee wee unafaa kugegedwaUmuhimu wake ni kuukeshea😁😁😁😁usijitoe ufahamu
Kwa hyo alitaka umwambie yeye n portable.Kuna ukweli hapa....
Niliwahi kumuambia mwanamke mnene kwamba yeye ni mnene....nilijuta sana[emoji28]
Shangazi kwa hapo umetupiga kamba.[emoji23] ni kinyume chake.Mmeshindwa kabisa kumuelewa mwanamke.
Mwanamke ni kiumbe kinachotaka, kinachopenda na kuuelewa ukweli wakati wote.
Hapo ndipo unaposhindwa kumuelewa mwanamke.
Mwanamke ana "instincts" tofauti na za wanaume. Ikiwa utamfikiria mwanamke kwa kutumia "instincts" za kiume, hutomuelewa mpaka kufa kwako.
Wanawake wote wana "natural instincts" za umalkia, wanaume hawana hizo.
Anza kwa kuzielewa "instincts" za umalkia utaanza kuwaelewa wanawake.
😂😂😂😂 Hiyo issue ya mkesha usiichukulie kiwepesiwepesi...ni muhimuKumbe ishu ni kukesha na de liboloz 🤣🤣🤣🤣 aisee wee unafaa kugegedwa
Wewe tena....najua unajua umuhimu wa kukeshea de liboloz maana hii ya kuibia ibia hainaga raha.😂😂😂😂 Hiyo issue ya mkesha usiichukulie kiwepesiwepesi...ni muhimu
Shemeji yako mwenyewe gubegube Kama wewe,mnakondaga nyie?🤣🤣🤣🤣🤣ukute pamoja na mkesha na asubuhi akitoka anaenda kuamsha popoWewe tena....najua unajua umuhimu wa kukeshea de liboloz maana hii ya kuibia ibia hainaga raha.
Ila besty ebu muonee huruma shemeji utamkondehsa kwa hiyo mikesha yako🤣🤣🤣🤣
Ah sasa wee unadhani mbususu yako peke yake inatosha? Wacha akapate ladha tofauti na style mupya. Ata wewe sii ajabu kuna kamjamaa unamsusia mbususu once in a while kupata mambo mapya. Wanawake wanaokili kuoenda mizangamuano wazi wazi watamu sana.😍😍😍😍. Hapa unachapa marimba tayari mnalishashusha round ya usubuhi usubuhi🤣🤣🤣🤣 wakati wengine tunanyetuka tuu hapa🤣🤣🤣🤣🤣Shemeji yako mwenyewe gubegube Kama wewe,mnakondaga nyie?🤣🤣🤣🤣🤣ukute pamoja na mkesha na asubuhi akitoka anaenda kuamsha popo