Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Ni vizuri watu wa mikoani mkaendelea kulima kwa bidii na kutajirika

Na watu wa dar wakaendelea na biashara na kuishi maisha yao ingekuwa mikoani kuna huo utajiri sifikirii Kama watu wangekuwa wanahama mamia na mamia
 
Dar mkuu Paache kama palivyo! Pa moto sana, maana kila unachoangalia ni fursa tu! Kuna Mami humu ndani alisema kabisa mkoani harudi tena maana hapa amefika! Na mkoani kwenyewe ni Mwanza!
 
Pamoja na kunitisha Mimi siondoki dasalama 😊😅
 
Mkuu tupeane koneksheni tafadhali. Maisha ya sasa ni ngumu .mtu kutoboa bila koneksheni. Upo mkoa gani na hali ya huko ikoje? Please connect.
 
Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.
Unajifariji kuwa Yale maghorofa na wewe Una hisa, zile daladala unahisi kama vile ni zako pia .....ukienda Bar 🍻 wale wahudumu unaona kama vile ndio wake zako.

Msafara wa Raisi wa CCM ukipita unajiona na wewe kama Waziri hivi....basi Raha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…