Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Wapi huko tuje kiongozi?
 
Ujumbe wako una utapia mlo wenye hali mbaya
 
Hawajiamini
Kuna mtu kasema mtu anamiaka 30 Dar hajafanya chochote na anavimba kuwa yupo Dar wakati huyo mtu kama alikuwa Dar anamiaka 20 Kwa Sasa anamiaka 50 Sasa huo ni umri wa kutamba kwamba upo Dar.

Hawa jamaa hawajiamini kabisa sijawahi ona mtu anamlaumu mtu wa mkoani kwanini hawaji Dar lakini wao kila siku ni vi manung'uniko dhidi ya watu wa Dar
 
Sio lazima uwe na Mishe,wengne ni wazawa washazoea maisha ya Daslam,mioyo yao hujaa Amani wakiwa DSM,Nna rafiki zangu wawili walipata kazi (gvt) mikoani hawakwenda,kupanga ni kuchagua,linda amani ya nafsi yako,maisha ni yako,ishi vile roho yako inataka...
 
Kwahiyo unashauri watu wote waondoke mijini warudi vijijini, sindio au?!
Anamaanisha badilisha mtazamo wako. Yafukiri maisha kwa ubongo mpana zaidi. Badilisha namna unavyowawazia wengine.

Kuna watu wanadhani kuishi kijijini au mkoani basi wwni mtu uliyefeli maisha au huna vha kufanya na huna ujualo.
 
Watu wa bush mnajiboost sio
 
Huyu si kiranga tumfamuye humu jf......tunayemfahamu ni zaidi ya hivi. Mantiki ya mleta mada haijaeleweka kweli?!!!!

Kiranga haeleweki kirahisi wacha kujifanya unamuelewa Kiranga kirahisi hivyo.

Siku utakayojifanya unamuelewa Kiranga kirahisi ndiyo siku utakayogundua hujamjua Kiranga bado.

Kasome post # 69.

Nimeweka mpaka vifungu vya katiba vinavyoelezea uhuru wa kila mtu kujiamulia maisha yake mwenyewe na kuwa huru kuishi popote Tanzania.

Mnataka kuwaingilia watu katika uhuru wao wa kikatiba na haki zao za kibinadamu za kuamua kuishi wanavyotaka, pahali wanapotaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…