Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hakuna point mpya, dar ukijituma unafanikiwa na huko mkoani ndio huwa wanaanza kusema ni firimasoni 😂Na ukisoma point zao unaona kabisa wanawazungumzia vijana ambao bado hawajajipata, utafkiri wakazi wote wa Dar wanaishi life style ya aina hiyo.
Yani uniambie muleba kuna fursa kibao kuizidi dar? Watembee waoneSio yaliwashinda pengine hata hawajawahi kufika so wanadanganyana tu huko huko mikoani.
Hawajiamini kabisa, wanaogopa sana hili jiji kubwa lenye kila kitu.Hakuna point mpya, dar ukijituma unafanikiwa na huko mkoani ndio huwa wanaanza kusema ni firimasoni 😂
Hakika mkuu, wao wamejikita na story za vilimo tu ndio wanachojivunia.Yani uniambie muleba kuna fursa kibao kuizidi dar? Watembee waone
Wacha walime ila soko lao ni darHakika mkuu, wao wamejikita na story za vilimo tu ndio wanachojivunia.
So ni Bora tubakie mjini tuteseke...mfano hapo mwanza urban vyakula Bei juu...kuliko dar es salaam mfano nyama,samaki n.kmaisha mkoani ni magumu wote tumetokea mikoani we know kwa usahihi , watu wako choka mbaya , mkoani unatakiwa uwe mchawi hasa kutoboa kibiashara ni lazima uloge sana , mkoani ndo kuna pumbaza kuliko dsm ,
Hii comment iwekewe lamination..na ikawekwe pale askari monument POSTA 😊😅Mtaani wapi huko? Hizi hoja zinaongelewa sana na wasio wakazi wa dar sijui ni kwanini.
Dar pamechangamka kifursa kuanzia level ya chini ya maisha mpaka level ya juu. Kuna sehemu kuitafuta elfu 5 kwa siku ni mtihani sana.
Na ukija usikae Sana in Paul makonda voice 😅Mi dar huwa na kwenda kula hela na shoping kisha narudi zangu interior kusaka point 3 muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiUnakuta mtu amekaa dsm 10 yrs Hana ata kiwanja , nyumba wala biashara halafu anajikuta mjanja et ni WINGA teleza[emoji2]
Mbona Wahindi hawana viwanja wala nyumba lakini ndio wanaowatuma?Unakuta mtu amekaa dsm 10 yrs Hana ata kiwanja , nyumba wala biashara halafu anajikuta mjanja et ni WINGA teleza😃
Sasa elf 5 nayo ni hela? KhaaaahMtaani wapi huko? Hizi hoja zinaongelewa sana na wasio wakazi wa dar sijui ni kwanini.
Dar pamechangamka kifursa kuanzia level ya chini ya maisha mpaka level ya juu. Kuna sehemu kuitafuta elfu 5 kwa siku ni mtihani sana.
Na wale homeless New York utasema Marekani pagumu bora mikoani?Watakaokupinga ni wale wahanga yaani upo sahihi. Dasalam kama hujaajiriwa au una biashara ya mtaji kuanzia 50 milioni ni kujisumbua tu. Kuna wamachinga pale Mwenge wanalala kwenye meza hawana hata uwezo wa kupanga chumba cha elfu 15 kula ya shida ila yupo Dar mwaka wa tano. Itoshe kusema ni uvivu wa kulima na tamaa bila ya mipango.
Hwbu nitajie nchi moja tu hapa duniani ambayo raia wote wametobowa.Kijana anakimbia kwao huku eti anakuja Dar anakuwa mbeba viroba vya bidhaa sokoni, mara sijui bodaboda mwengine winga kule kuna muuza kahawa. Halafu kwa ajira hizo uje utoboe? Utazeekea mjini huna hata shimo la choo
Utumwa huo kwa vijana wasiojitambua , niache kufuatilia mashamba ya machungwa Tanga nikaishi Dar , ujinga wa namna hiyo sifanyi .Kijana anakimbia kwao huku eti anakuja Dar anakuwa mbeba viroba vya bidhaa sokoni, mara sijui bodaboda mwengine winga kule kuna muuza kahawa. Halafu kwa ajira hizo uje utoboe? Utazeekea mjini huna hata shimo la choo
Hwbu nitajie nchi moja tu hapa duniani ambayo raia wote wametobowa.
Mimi nimezaliwa Dar, naujuwa mtaa wa Congo tangu wakiuza Sangara, wamekuja wamakonde kuanzisha biashara ya mitumba wengi wametobowa na ndio waasisi wa jina la Wamachinga, kariakoo sasa imetekwa na Wakunga, kwa nini hayo maghorofa na biashara wasifanyie kwao Njombe?
"The world 🌎 is living, suffering is your choice"Kwahiyo unashauri watu wote waondoke mijini warudi vijijini, sindio au?!