Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hakuna point mpya, dar ukijituma unafanikiwa na huko mkoani ndio huwa wanaanza kusema ni firimasoni 😂Na ukisoma point zao unaona kabisa wanawazungumzia vijana ambao bado hawajajipata, utafkiri wakazi wote wa Dar wanaishi life style ya aina hiyo.