Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuawa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.