Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ahaaa, dogo mbona unajichetua? Kumbe unajua fika JPM yupo kundi la akina Thomas Sankara.
Wapi kwenye post yangu nimemtaja huyo JPM? Au unajistukia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa, dogo mbona unajichetua? Kumbe unajua fika JPM yupo kundi la akina Thomas Sankara.
Yule dikteta? teteteteKuna kiongozi mmoja wa East Africa umesahau kumtaja hakumaliza hata Miaka 10 ya utawala wake .
Alikuwa ni shetani kabisaHuyo hakuwa kiongozi zaidi alikuwa na chuki na watu
Mkuu taratibu basi... kwetu Marehemu hasemwi...Alipambana kuiba kura kinyama, alitawala kishenzi mwisho wa siku alichopigania wanakula wengine. Alikua shwaini sana yule.
Huyo hakuwa kiongozi zaidi alikuwa na chuki na..... Alikuwa NYUNDO.... na kila tatizo akaona MSUMALI..... akawa anagonga tu
Adui wa tatu ni mwananchi hasiyeelewa haki zake za msingi, na hata akielewa, basi hayupo tayari kuzipigania, huku akisubiri mwingine ampiganie!Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Dogo nakujua vizuri sana.Wapi kwenye post yangu nimemtaja huyo JPM? Au unajistukia nini?
Dogo nakujua vizuri sana.
Kwani ulishamkubari JPM kwa lolote?Duuu kazi ipo.
Kilaza, jambazi na liuaji hilo liwe sawa na Sankara!!???Ahaaa, dogo mbona unajichetua? Kumbe unajua fika JPM yupo kundi la akina Thomas Sankara.
Shida inakuja huyo kiongozi akifa karibu robo tatu ya wananchi wake wanasheherekea kifo chake.Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Kwani ulishamkubari JPM kwa lolote?
Hivi unajua HAKI YA KUAMUA ni Mali ya huo Umma unaousema. Sasa Mali ya umma gani iliyolindwa au ni zile 1.5t?Kabla sijakujibu, umeelewa point yangu? Habari za wizi wa kura zina ushahidi? Ndio kigezo cha kuponda viongozi wanaolinda mali ya umma kwa manufaa ya umma?
Simkubali shetani na mambo yake.
Wewe ukimchukia kuna tatizo? Wakati anakubalika dunia nzima kwa mazuri aliyofanya.Simkubali shetani na mambo yake.
Bila bila = hamna akili.Hivi unajua HAKI YA KUAMUA ni Mali ya huo Umma unaousema. Sasa Mali ya umma gani iliyolindwa au ni zile 1.5t?
Simkubali shetani na mambo yake.
Umemsahau JPMAngalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.