Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.

Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.

Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.

Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.

Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.

Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Ni vizuri umeishia kw kuwataja Patrice Lumumba na Thomas Sankara. Ingawa mawazo yako yalitaka kumtaja na yule mungu wenu.

Ile ya kwenu ni takataka usiosogeze kabisa kwa hawa wana wa Afrika. Iache iendelee kuoza Chato
 
Kabla sijakujibu, umeelewa point yangu? Habari za wizi wa kura zina ushahidi? Ndio kigezo cha kuponda viongozi wanaolinda mali ya umma kwa manufaa ya umma?


Hakuna mzalendo yeyote ambaye anafikiri yeye tu ndiyo anaweza kuwa kiongozi. Mzalendo ni mtu anayependa nchi yake bila kujali kuabudiwa au kupendelea marafiki zake. Mzalendo anapenda nchi kuliko chama. Tuna wazalendo wa kweli Tanzania ambao wamebambikwa kesi, kuchukuliwa mali zao bila sababu na hata wengine kupigwa risasi na kufa. Kuna vijana wangapi wamekufa Tanzania kwa kukosoa tu! Hawa ni wazalendo wa kweli .

Mfano Polepole si mzalendo kwasababu alikuwa wa kwanza kununua wapinzani, kuhimiza polisi waibe kura na ushahidi wa wizi wa kura upo wazi!. Kutambia magari sijui V8 eti leo anajifanya mzalendo ni wajinga tu ambao hawa jamaa wanawadanganya!. Baada ya kukosa vyeo na matamaa yake anajifanya mkosoaji 😂 mnafiki mkubwa
 
Ni vizuri umeishia kw kuwataja Patrice Lumumba na Thomas Sankara. Ingawa mawazo yako yalitaka kumtaja na yule mungu wenu.

Ile ya kwenu ni takataka usiosogeze kabisa kwa hawa wana wa Afrika. Iache iendelee kuoza Chato
Impliedly umetambua kuwa JPM anafit kuwa kama Lumumba na Sankara
 
Chuki, unafiki, upendeleo wa wazi, majivuno, mauwaji ya watu wanaokosoa tawala zao na mengine mengi ya namna hiyo ndo chanzo kikubwa cha viongozi wa kiafrika kujitengenezea maadui wengi na kushindwa kutawala kwa amani.
 
Back
Top Bottom