Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Una elimu gani binti?Sikulaumu ila ninaulaumu mfumo wa elimu wa kukaririsha ambao umekufikisha hapa. Geukia "umahiri" utauona Mwanga.
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Kabla sijakujibu, umeelewa point yangu? Habari za wizi wa kura zina ushahidi? Ndio kigezo cha kuponda viongozi wanaolinda mali ya umma kwa manufaa ya umma?Tusisingizie mabeberu kila kitu haya ni matatizo yetu wenyewe. Hawa viongozi wengine tunao fikiria ni wazalendo sio kweli . Wengi hawataki wwngine kuongoza, wanauwa wengine, wanawafunga wote wasiokubaliana nao, wananyima uhuru, …. Rushwa halafu tunawaita wazalendo! . Kuna mzalendo ambaye anaiba kura kwa wananchi!!! Tuwe makini sana
umesema ukweli kabisa.point noted.Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Alipambana kuiba kura kinyama, alitawala kishenzi mwisho wa siku alichopigania wanakula wengine. Alikua shwaini sana yule.Kuna kiongozi mmoja wa East Africa umesahau kumtaja hakumaliza hata Miaka 10 ya utawala wake .
Weka kapuni na usimtaje kabisa huyu wa EA ukaibua hasira za watu!Kuna kiongozi mmoja wa East Africa umesahau kumtaja hakumaliza hata Miaka 10 ya utawala wake .
Acha matusi we mbwa.Alipambana kuiba kura kinyama, alitawala kishenzi mwisho wa siku alichopigania wanakula wengine. Alikua shwaini sana yule.
Kuna tapeli moja la East Afrika lenyewe lilishiriki kupora hata zile mali za raia kupitia vibaka wake. Afrika ina laana.Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Usiilinganishe ile takataka na akina Sankara au LumumbaAcha matusi we mbwa.
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuwawa kwa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa ni mafisadi wanaotarajia kuiba mali za taifa analoliongoza na hawa huwa wanafanya kila namna huyo kiongozi asiendelee kutawala.
Adui wa pili huwa ni mabeberu ambao huwa na mikakati ya kila namna kuhakikisha kingozi anayebana wasiibe mali za taifa analongoza anauwawa kwa kila namna.
Waafrika tutahangaika sana maana bado tuna maadui kila kona.
Ahaaa, dogo mbona unajichetua? Kumbe unajua fika JPM yupo kundi la akina Thomas Sankara.Naona unataka kuja na uzi wa kumtetea dhalimu. Ila unaogopa kumtaja.
Acha kujichetua.Usiilinganishe ile takataka na akina Sankara au Lumumba
Very true.... watu kama Tundu Lissu ni mfano halisi wa waathirika wakubwa wa mifumo kandamizi na ya kiimla ya tawala dhalimu za kiafrika.
Huyo hakuwa kiongozi zaidi alikuwa na chuki na watuKuna kiongozi mmoja wa East Africa umesahau kumtaja hakumaliza hata Miaka 10 ya utawala wake .