Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

Alipambana kuiba kura kinyama, alitawala kishenzi mwisho wa siku alichopigania wanakula wengine. Alikua shwaini sana yule.
Mkuu taratibu basi... kwetu Marehemu hasemwi...
 
Adui wa tatu ni mwananchi hasiyeelewa haki zake za msingi, na hata akielewa, basi hayupo tayari kuzipigania, huku akisubiri mwingine ampiganie!
 
Acha Urais tu hata ukiwa unawabana maofisini wanakumaliza hata kwa sumu
Mwafrika hawezi kuendelea kwa roho yake mbaya

Tatizo kuna watu huwa hawaridhiki na kidogo ndio maana Mama aliwaambia wale kidogo basi
 
Ahaaa, dogo mbona unajichetua? Kumbe unajua fika JPM yupo kundi la akina Thomas Sankara.
Kilaza, jambazi na liuaji hilo liwe sawa na Sankara!!???
Muwe na shukurani kwa Muumba kwa kuwapa hata uwezo wa kujua kusoma, kuandika na kuanzisha huzi JF basi hata kama ni vilaza wa kutupwa.
 
Shida inakuja huyo kiongozi akifa karibu robo tatu ya wananchi wake wanasheherekea kifo chake.
 
Kabla sijakujibu, umeelewa point yangu? Habari za wizi wa kura zina ushahidi? Ndio kigezo cha kuponda viongozi wanaolinda mali ya umma kwa manufaa ya umma?
Hivi unajua HAKI YA KUAMUA ni Mali ya huo Umma unaousema. Sasa Mali ya umma gani iliyolindwa au ni zile 1.5t?
 
Umemsahau JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…