Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
MBUZIIII CHOMAHiyo inaliwa na kidari cha ng'ombe bwashee đ
MBUZIIII CHOMAHiyo inaliwa na kidari cha ng'ombe bwashee đ
Unaweza kufanya nini kunufaika badala ya kunungĂșnika!View attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Nyama ya mbuzi situmii bwasheeMBUZIIII CHOMA
Mie buheri wa afyaSijamboo miyeee, wajionaje na hali weyee
KwaniniNyama ya mbuzi situmii bwashee
Harufu yake sipendi hata ya ng'ombe pia ni mara chache mno ,tofauti na kuku na samaki sina upenzi wa nyama nyingne kabisa.Kwanini
MBUZI ikitengenezwa vyema mkuu ni tamu Sana ntakualika siku mojaaHarufu yake sipendi hata ya ng'ombe pia ni mara chache mno ,tofauti na kuku na samaki sina upenzi wa nyama nyingne kabisa.
Yeah nitajaribu hiyo siku moja bwasheeMBUZI ikitengenezwa vyema mkuu ni tamu Sana ntakualika siku mojaa
SEMA IKIANDALIWA VIZURI INAKUA NYAMA TAMU SANAA.Yeah nitajaribu hiyo siku moja bwashee
Dah bahati mbaya sana mimi nyama sio mpenzi wake kabisa japo ni mfugaji mzuri tu , huwa naona huruma sana kwa viumbe pale wanapopitia mateso makali ya kuchinjwa naona hata kula nyama yake kwangu mimi sio sahihi ,karibu bia mkuu.SEMA IKIANDALIWA VIZURI INAKUA NYAMA TAMU SANAA.
Mapema aisee Mimi hapa namalizia kazi ndio nipite sehemu nipige konyagi ndogo moja inanitosha na niende home KUPUMZIKA. Izi siku nimekua napiga kvant AISEEEE kitambi chotee kimeisha aisee kvant inamaliza/ yeyusha mafutaDah bahati mbaya sana mimi nyama sio mpenzi wake kabisa japo ni mfugaji mzuri tu , huwa naona huruma sana kwa viumbe pale wanapopitia mateso makali ya kuchinjwa naona hata kula nyama yake kwangu mimi sio sahihi ,karibu bia mkuu.
Sierra nevada pale ale bia yangu pendwa , pia kilimanjaro na safari kidogoMapema aisee Mimi hapa namalizia kazi ndio nipite sehemu nipige konyagi ndogo moja inanitosha na niende home KUPUMZIKA. Izi siku nimekua napiga kvant AISEEEE kitambi chotee kimeisha aisee kvant inamaliza/ yeyusha mafuta
Huwaga unapiga safari lager or Kilimanjaro âșïž ama balimi
Hapo sawaSierra nevada pale ale bia yangu pendwa , pia kilimanjaro na safari kidogo
Hapa nakula pia bia huku napitia mistari ya biblia pole poleHapo sawa
Ni wazo zuri sana expert wangu, ishu inakuja kulibadili na kuwa vitendoUnaweza kufanya nini kunufaika badala ya kunungĂșnika!
Ujumbe unagusa watu waliovuka miaka 40, kundi lenye nguvu ya ununuzi (purchasing power) na linalojitafakari kimtazamo, kihisia, na kijamii. Unaweza kuanzisha au kuendeleza bidhaa au huduma yenye ujumbe huu wa "kujikubali na kuelimisha kizazi kingine" kwa njia zifuatazo:
1. Brand ya Mitindo au Bidhaa za Mtindo wa Maisha:
2. Podcast au YouTube Series:
- T-shirt, kofia, na vikombe vilivyoandikwa kauli kama:
- âWhen You Turn 40s, Youâll Understand.â
- âSalamu ni Heshima, Umri Ni Namba.â
- âMvi ni Medal.â
3. Kampeni ya Kisasa ya Salamu:
- " 40+" â kipindi cha mazungumzo kinachojadili uzoefu wa watu walio katika miaka ya 40 na kuendelea. Wadhamini wanaweza kuingia â hasa bidhaa za afya, bima, na ustawi wa kiakili.
4. Uandishi wa Kitabu/Maandishi:
- Unda kampeni ya "Salamu Bila Umri" â inaweza kuungwa mkono na NGOs au taasisi za elimu ya jamii, ikiambatana na mafunzo, video fupi, na bidhaa zenye ujumbe.
Kwa kifupi: hisia za kizazi hiki na utani wa fikra kuhusu salamu na umri ni hazina, ikichakatwa vizuri inaweza kuwa brand, bidhaa au jukwaa lenye mapato na ushawishi.
- Fanya content hii kuwa kichocheo cha kitabu au blog series: âNilipofikisha 40â â ambacho kinaweza kuuzwa au kutumika kwenye jukwaa la ushauri wa maisha.
Macho kwenye Fursa