min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sasa ile juzi nikakuiga nikapiga kitu cha buffalo trace na ngoma ikazima kuja kuzinduka saa 5 asubuh 🤣🤣Nipo mzee Leo dar es salaam mvua mvua..
Nipo hapa nasukuma masaa 😊
Sasa ile juzi nikakuiga nikapiga kitu cha buffalo trace na ngoma ikazima kuja kuzinduka saa 5 asubuh 🤣🤣Nipo mzee Leo dar es salaam mvua mvua..
Nipo hapa nasukuma masaa 😊
Bogi linapiga mjini sioNipo mzee Leo dar es salaam mvua mvua..
Nipo hapa nasukuma masaa 😊
Lina piga maeneo tofauti tofauti mzeeeBogi linapiga mjini sio
Du! hapo jangwani vipiLina piga maeneo tofauti tofauti mzeee
Mimi kwa Sasa naona alcohol persistence imekua kubwa inabidi nipunguze kabisa.Sasa ile juzi nikakuiga nikapiga kitu cha buffalo trace na ngoma ikazima kuja kuzinduka saa 5 asubuh 🤣🤣
Pale Pana depends na mvua zinaweza kunyesha kwingine maji yakaletwa huko.Du! hapo jangwani vipi
Dah katika kitu napambana ni mazoezi ya mwili na vyakula vya kusafisha sumu mwiliniMimi kwa Sasa naona alcohol persistence imekua kubwa inabidi nipunguze kabisa.
Noma Sana wewe utakua una kunywa nyingi eeee piga mdogo mdogo Kama Juzi nilipiga lost la kitimoto nikawa napiga konyagi sisikii kitu.
🤓😁
Kweli mkuu.Dah katika kitu napambana ni mazoezi ya mwili na vyakula vya kusafisha sumu mwilini
Kabisa braza na mtu akiniona kama mlokole flani kumbe chapombe, maji mengi ,maziwa fresh, matunda ,supu ya samaki , na mboga za majani na mazoezi makali ndio siri yangu bwasheeKweli mkuu.
Hapo kwenye avatar yako ukimaliza hiyo chupa ya 750ml ni USINGIZI mzito balaa.Kabisa braza na mtu akiniona kama mlokole flani kumbe chapombe, maji mengi ,maziwa fresh, matunda ,supu ya samaki , na mboga za majani na mazoezi makali ndio siri yangu bwashee
Kiuhaliasia shikamoo siyo salamuView attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Hiyo inaliwa na kidari cha ng'ombe bwashee 😆Hapo kwenye avatar yako ukimaliza hiyo chupa ya 750ml ni USINGIZI mzito balaa.
Shikamoo pesa kama ulikuwa hujuiView attachment 3347358
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's akasema ukiwa na umri huu ni mtihani,unaweza usisalimie watu kwa kuwaona mnalingana au ukajikuta unawasalimia wadogo zako kwa umri
Aisee sasa namuelewa sana,kwanza namshukuru Allah nimejaaliwa mvi za kutosha tu,ishu ni kwamba huwa sometime nashindwa kuwaamkia watu nisio wajua kwakuwa naona kama nipo sawa nao tu,lakini sometime najishtukia naona kama nilipaswa kuwaamkia
Hii salamu ya Shikamoo sio poa kwasababu inamtaka mdogo amsalimie mkubwa,lau tungekuwa na salamu flani hivi ambayo haibagui mkubwa na mdogo ingekuwa poa sana, kwa mfano salamu ya "habari za asubuhi au mchana au jioni" haina mfumo wa mkubwa au mdogo
Najua watoto wa elfu mbili hamuelewi hili kama ambavyo nami sikumuelewa yule jamaa wa kule library kule Chuoni,sasa nimemuelewa,nanyi pia mtakuja kumuelewa Etugrul Bey siku moja when u turn 40's
Kama kuna mtu ambaye anamjua alieanzisha hii salamu aniambie,kwani namhitaji huyu mtu anipe maelezo ya kina ilikuwaje wameturithisha hii salamu.
Ni hayo tu!
Kivip?Shikamoo pesa kama ulikuwa hujui
Wee naee, nimekumiss kwanza shikamoo🤣Kivip?
Marahaba tunda zuri ,haujambo weweWee naee, nimekumiss kwanza shikamoo🤣
Sijamboo miyeee, wajionaje na hali weyeeMarahaba tunda zuri ,haujambo wewe