Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

All the best mkuu.Ukifanikiwa wewe na sisi wapampanaji wa JF tutakuwa karibu ma mafanikio.

Hizi gari bwana zinachonikera ni kutokuwa na sauti yani sipati picha naendesha gari sisikii kelele za Engine.

Kuna siku nilimtembelea jamaa yangu ofisi moja masaki alikuwa anahivi vi Prius asee nimekawasha kako kimya kidogo niwashe tena jamaa akaniwahi kameshawaka endesha tu.Yani husikii kitu kakishika speed ndio unaskia engine.

Sasa kwenye Full EV si tutakuwa tunasinzia barabarani? au wengine kugongwa njiani huko.
 
Aisee.. kuna fursa sana ktk ufundi wa Ev na hizo Hybrid.

Wachina watakuja kuwekeza hapa, huku sisi Wazawa tukitoa macho tu.
 
hapa bongo kozi ufundi wa izo EV na hybrid umeishaanza kutolewa ?
Swali zuri. Sina uhakika kama Kuna chuo wanatoka hizo kozi hapa bongo lakini hakuna Elimu nzuri kama ya kujifunza mwenyewe. Kuanza kuzielewa mifumo yake, changamoto zake, aina za EV tofauti tofauti, hayo yote yanapatikana kwenye mtandao, ukijumlisha na ujuzi ulionao wa magari ya kawaida, unapata pa kuanzia.
 
Usijaribu kununua magari Alibaba. Mengi ni vituko nenda kwenye official website hata kwa Brand za China kama BYD.

Kama unataka kuona hivyo vituko ingia Youtube uone wakionunua EV from Alibaba
BYD yapo mengi mtandao wa be forward, mwezi July Kwa mara ya Kwanza nimeliona gari ya UMEME ya BYD inaenda Congo, wenzetu Huko Congo wanatumia
 
Niliona siku nikajua anazingua tu, alikua na Toyota BZ4x EV. View attachment 3090326
Toyota ujanja mwingi ila kwenye EV anaogopa. Wajapan wote EV wanaingia kwa mguu nusu, wengi wanashirikiana na Mchina kufanya maajabu sio wenyewe.
Mkuu kampuni zote za Japan hawataki kabisaa kusikia neno EV, hawa wajapan wanaona hydrogen fuel ndiyo nishati nzuri kwa magari pia ni rafiki WA mazingira.

Juzijuzi kampuni ya Volkswagen wanasema wanaweza kuachana na uzalishaji magari ya UMEME kutokana na ushindani, Toyota wao ndiyo hawataki hata kuyaona magari hayo zaidi ya hybrid tu
 
Naona mashine inasoma speed 260 hii ndege naijua sanaa barabarani inavyonyanyasa ..
Safi sana mkuu

Shukran, mwisho wa siku ni umahiri na uzoefu wa mwendeshaji. Kuna siku Mazda ndogo ili nipelekesha balaa kutokea maeneo ya Manyoni - Singida, nilikua na familia naogopa kufika 180. Pakawa na dalili ya mvua, wife akasema tusichelewe sana giza na mvua sio nzuri Kwa safari.

Hapo ndio nikapewa idhini ya kufunguka, lakini yule mwarabu alikua Yuko fit nilimtelekeza maeneo Kwa 220 km/hr.
 
Kwa kuanza, wangejaribu ata kupunguza kwa miaka kadhaa.

Ila huu ushirikiano ulipo kati ya TZ na CN maybe unaweza fanya

Kwa Tanzania ni suala la muda tu, tutegemee wachina kuanzisha kiwanda cha magari ya umeme cause malighafi tegemezi ya betri yaani graphite ynapatikana wilayani Rungwa, Lindi, na uchimbaji Karibuni utaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…