Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

U
Nasikitika Kuwa wewe akili yako imeisha hapa Kufikiria, Ukikua utajua Kuwa wake zetu wapo kwa ajili ya heshima Externally na Kulea Familia ila linapokuja Swala la Mahitaji ya Kingono they will never satisfied us kabisa, Hapo ndio unaona umuhimu wa imani kama ya Kislamu ya Kuruhusu Kuoa Mke zaidi ya Mmoja
ULipoingiza tu hizi propaganda za imani nimeishia hapo mkuu..
Hongera jukwaa nimekuachia wewe na wenye dini wengine.
 
Sema mwanamke mwenye umri mdogo uwe na msuli kweli.
maeneo ya pugu pale jamaa kaua dogo wa miaka 18 akiamini (nadhani)kuwa na mpenzi wa mke wake (huenda ikawa kweli)ila mwanamke wa umri mdogo dah sio poa
DUuh hii story mbona imeelezewa tofauti? Hii yako kama ina make sense!

Walivyoelezea Global Publisher ni kwamba mwanamke alienda kwa mpenzi wake(muuaji) ,mpenzi wake akakataa kumfungulia mlango ,ikabidi mwanamke aende kijiweni akamkuta dogo(aliyefariki) akamuomba aruke ukuta afungue geti ,jamaa(muuaji) alivyoona dogo kaja kufungua ndiyo akampa BETO za kutosha.

Hii story ya kwako kidogo kama inamake sense kama Dogo alikuwa anakula mke wa mtu akstukiwa na mwenyewe ndiyo akapigwa kitu chenje ncha kali kikatenganisha kichwa.
 
Ndio asili ya ndoa za babu zetu na baba zetu... Range yao ilikuwa ni tofauti ya miaka 7 - 10
Sisi tunaoana tukiwa umri sawa kwa kufikii ndio usasa, kumbe hatujui biological clock ya mwanaume na mwanamke inaenda kwa mwendo tofauti.

Binti wa miaka 18 ni mkubwa kwa kijana wa kiume wa miaka 18, ingawa umri unafanana, na sequence iyo inaenda hivyo hivyo mpaka kwenye 20's, 30's na kuendelea
 
Sio rahis kuishi na hivyo vitoto. Unatakiwa kuwa jiwe kwelikweli. Vinginevyo kama hutokimbia tu ukaachie mji basi katakuua kwa Hypetension au kama ni mwepesi kurusha mkono, utakapiga ukaue.
Labda hawa wa mjini mkuu. Lakini ukienda luopoa mwali wa huo umri uko mikoani wala hawana shida.
 
DUuh hii story mbona imeelezewa tofauti? Hii yako kama ina make sense!

Walivyoelezea Global Publisher ni kwamba mwanamke alienda kwa mpenzi wake(muuaji) ,mpenzi wake akakataa kumfungulia mlango ,ikabidi mwanamke aende kijiweni akamkuta dogo(aliyefariki) akamuomba aruke ukuta afungue geti ,jamaa(muuaji) alivyoona dogo kaja kufungua ndiyo akampa BETO za kutosha.

Hii story ya kwako kidogo kama inamake sense kama Dogo alikuwa anakula mke wa mtu akstukiwa na mwenyewe ndiyo akapigwa kitu chenje ncha kali kikatenganisha kichwa.
Media lazima zipindishe kidogo kutokana na maadili
 
Back
Top Bottom