DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Jayz amekutana na Beyonce by that time Beyonce alikuwa na 19 yrs
Maturity is mind and not age
Binti Akipata malezi mazuri ya kujitambua akifika 18 anakuwa anweza Ku-handle situation mbali mbali
Na ni kweli mwanamke akiwa na umri mdogo uwezo wa kufikiri na kuyaelekea mambo unakuwa vizuri Sana .

Mishangazi tunazidi kushambuliwa😂😂😂ila hiyo miaka 18 labda kwa ajili ya ngono na starehe ila sio ndio awe mke