Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

Halafu huwa wanachepuka vya ajabu. Ni wazuri kitandani tu. KWa tuliooa ni wazuri kwetu, ila kwa anayetaka kuoa, lazima mwanamke awe amekomaa.
Ni ukweli usiopingika tukiachana na tabia ya mtu na mtu ila ninavyojua wanaume wanapenda utulivu kwenye ndoa na huwezi kuupata kwa binti wa 18 years
 
📌Mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya sex!!!

Mwanaume anayeoa mwanamke kwa kigezo cha akili/elimu/hela n.k hana akili timamu na lazima aje apigwe na kitu kizito.
Unaoa mwanamke kwa kigezo cha sex??
Daah ww jamaa una umri gani kwanza
 
Ni ukweli usiopingika tukiachana na tabia ya mtu na mtu ila ninavyojua wanaume wanapenda utulivu kwenye ndoa na huwezi kuupata kwa binti wa 18 years
Maturity inajengwa na nini

Age ?
Life experience
Malezi na makuzi MTU aliyokulia

Mtafute mwanamke wa 18 na wa 28 utaona utaofauti mkubwa Sana
 
Ukomavu wa akili na kihisia hautokani na Umri keep this in ur mind.
True but miaka 18 ni miaka 18 kwenye kila rule kuna exceptions so lazima wawepo matured beyond umri wao ila ni asilimia ndogo mnooo
 
Maturity inajengwa na nini

Age ?
Life experience
Malezi na makuzi MTU aliyokulia

Mtafute mwanamke wa 18 na wa 28 utaona utaofauti mkubwa Sana
Ndicho ninachojaribu kusema muda wote huu🙏
 
Mmama
 
Vichwa havifanyi kazi kwenye nini?
Hao wengi ndo single maza, divorced na and depressed womens.

Hawana uwezo wa kujitegemea omba omba

Wanabeba mimba ya juma Ila mtoto anapewa Khamiss
 
Tofauti ya umri nzuri kwa ndoa za kiafrika mwanamme na mwanamme ni miaka 10.
 
Hao wengi ndo single maza, divorced na and depressed womens.

Hawana uwezo wa kujitegemea omba omba

Wanabeba mimba ya juma Ila mtoto anapewa Khamiss
Ni
Hao wengi ndo single maza, divorced na and depressed womens.

Hawana uwezo wa kujitegemea omba omba

Wanabeba mimba ya juma Ila mtoto anapewa Khamiss
so kwa sababu ni single mother ndio akili yake imechanganyikiwa😭😭na kwanini wa miaka 30’s ndio wengi wawe depressed sababu ya kuwa depressed ni nini na kwanini wengi wawe divorced wakiwa 30’s inamaanq wengi waliolewa wakiwa early 20🤔
 
Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili inashuka
 
Katoto ka miala 18 jiandae kugongewa. Usijifananishe na babu zako, walikuwa wanakeketa wanawake enzi hizo.

Oa mwanamke wa ujana wako hata kama mnalingana umri, achana na vitoto.
 
Back
Top Bottom