Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

Unaoa mwanamke kwa kigezo cha sex??
Daah ww jamaa una umri gani kwanza

📌📌Huna akili!!!

Siku ukizipata utaelewa kwanini religious scriptures zinasema mwanamke aliumbwa kuja kututolea upweke.Sasa kama kwa akili zako unataka wangenyooka waseme amekuja kusexiwa endelea kusubiri.

we fala UPWEKE= NYEGE.
 
Alpha male ameongea....atapingwa sana na BETA MALES !

#Trump is the one of the alpha males in the United States of America!
 
Hamna mkuu, we unadhani kina Machache na Mmare si waliwazidi wake zao zaidi ya miaka arobaini na ushee kama sio hamsini.

Mwanaume wa miaka 80 anaweza oa msichana wa miaka 18 or below.
Mwanaume ni PESAAAA....na pesaaaa haipatikani ukiwa na miaka 25......
 
Wanaume wanachokaa mapema kutawanga mahindi...

Ndio maana wanawake wenye umri mkubwa wanataka dogodogo...

Alisikika mama wa miaka 40 akisema kiu yake ni kubwa 😂😂
Nipisie huyo mmama
 
Kila mtu aishi kwa standards zake.

Wewe ukitaka vibinti vya 18 years sawa, Anayetaka 19-29 years sawa.

Anayetaka 30+ sawa.

Sasa wewe unataka kila mtu awe sawa na mtazamo wako?
 
📌Mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya sex!!!

Mwanaume anayeoa mwanamke kwa kigezo cha akili/elimu/hela n.k hana akili timamu na lazima aje apigwe na kitu kizito.
Kuoa kwa Kigezo cha Ngono Hio ndio kutafuta Matatizo Zaidi mtu anaebeba Mimba Miezi tisa anaingia Period kila mwezi, Analea watoto na Heka heka za nyumbani kibao still unategemea Aku offer sex nzuri?
Tumeoa Ili Kujenga familia na Hao wake zetu watulele watoto na Wajiheshimu ila Swala La Sex na starehe tunajua Tunapovipata na sisi tunawaheshimu wake zetu
 
Bora ututetee 😂😂😂inauma sana kushushwa thamani kiasi cha kuambiwa hatuna tunachoki offer kwenye ndoa zaidi ya sex duuh
 
Hamna mkuu, we unadhani kina Machache na Mmare si waliwazidi wake zao zaidi ya miaka arobaini na ushee kama sio hamsini.

Mwanaume wa miaka 80 anaweza oa msichana wa miaka 18 or below.
Sijakuelewa hao uliowataja ni kina nani
 
📌📌Huna akili!!!

Siku ukizipata utaelewa kwanini religious scriptures zinasema mwanamke aliumbwa kuja kututolea upweke.Sasa kama kwa akili zako unataka wangenyooka waseme amekuja kusexiwa endelea kusubiri.

we fala UPWEKE= NYEGE.
Hata vitabu vya dini vyenyewe vimeweka wazi ..Ujio wa mwanamke duniani ilikua ni kua msaidizi wa mwanaume kwenye utawala wake
Ngoja nikupe sababu za ujio wa Mwanamke in biblical context
1.Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe . Mwanzo 2:18 “Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye
2.Mithali 14:1 “ Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake ; bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe
SASA UKIKUA NDIO UTAELEWA HILI NINALOSEMA HAPO...OA MWANAMKE KW SABABU ANAKUA MLEZI BORA WA WATOTO
SASA WW OA MWANAMKE KWA KIGEZO CHA TAKO NA SURA KWA AJILI YA KUJIFURAHISHA NAFSI YAKO KITANDANI ....
 
Kuoa kwa Kigezo cha Ngono Hio ndio kutafuta Matatizo Zaidi mtu anaebeba Mimba Miezi tisa anaingia Period kila mwezi, Analea watoto na Heka heka za nyumbani kibao still unategemea Aku offer sex nzuri?
Tumeoa Ili Kujenga familia na Hao wake zetu watulele watoto na Wajiheshimu ila Swala La Sex na starehe tunajua Tunapovipata na sisi tunawaheshimu wake zetu
Tujaribu kuwaeleza vijana bado hawajawa na uelewa mpana sana
 
Kuoa kwa Kigezo cha Ngono Hio ndio kutafuta Matatizo Zaidi mtu anaebeba Mimba Miezi tisa anaingia Period kila mwezi, Analea watoto na Heka heka za nyumbani kibao still unategemea Aku offer sex nzuri?
Tumeoa Ili Kujenga familia na Hao wake zetu watulele watoto na Wajiheshimu ila Swala La Sex na starehe tunajua Tunapovipata na sisi tunawaheshimu wake zetu

kushindwa kujicontrol na kusex hovyohovyo ni anguko namba mbili.Mwanaume yeyote anatakiwa uwe na uwezo wa kuishi au kuvumilia kutokupata ngono.Ukijiendekeza tu imekula kwako.

Mwanamke kazi zake ni kukutoa upweke(sex),kuzaa, kulea na kutunza nyumba.Hayo majukumu mengine mnayowapa ndio yanawapa stress wanaanza kuwehuka.
 
Hata vitabu vya dini vyenyewe vimeweka wazi ..Ujio wa mwanamke duniani ilikua ni kua msaidizi wa mwanaume kwenye utawala wake
Ngoja nikupe sababu za ujio wa Mwanamke in biblical context
1.Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe . Mwanzo 2:18 “Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye
2.Mithali 14:1 “ Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake ; bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe
SASA UKIKUA NDIO UTAELEWA HILI NINALOSEMA HAPO...OA MWANAMKE KW SABABU ANAKUA MLEZI BORA WA WATOTO
SASA WW OA MWANAMKE KWA KIGEZO CHA TAKO NA SURA KWA AJILI YA KUJIFURAHISHA NAFSI YAKO KITANDANI ....

Utaendelea kuteswa na mapenzi na ndoa kwasababu ya uelewa wako mbovu.

📌📌📌Mwanamke is not your EQUAL,,,,PERIOD!!!

Ukianza kumuona mwanamke ni sawa na mwanaume kiuumbaji au kimatendo jua umeshapotea njia.
 
Nadhani kinachokutesa ww ni kutokua na standard level ya Emotional intelligence
Wap nimesema mwanamke ni sawa na mwanaume kiumbaji na kimatendo
By then mara ya mwisho kuteswa na mapenzi ni kipindi cha ujana tunajifunza mahusiano ...
Nadhan unapaswa kujifunza zaidi na kusoma vitabu vingi ili uongeze uelewa wa masuala haya
 
Amini unavyoamini ila ipo siku utaelewa kwa vitendo!!!
 
Duh kumbe naweza kuja kuoa binti niliepishana nae sana, vip kwa upande wenu hali ipoje na tofauti hiyo?
Mkuu unatafuta ukamilifu kutoka kwa mwenzako kuwa ndiye atakayekufa furaha kweli.
Mwanamke Kama anakuzalia watoto, anakupikia, anakuheshimu, anajua Mana ya mme, anakufulia, anasafisha nyumba yako, ndugu zako wakija kwako wanajisikia Wana amani ya moyoni yaani Ile furaha ya dhati kabisa hata mama mzazi anaenjoi kuwa kwako, ukimpa maelekezo anafuata, Kama umemfungulia biashara anasimamia hela ya matumizi ya kula inapatikana.
UNATAKA UNIVERSE IKUPE NINI.
sema tu labda ni kuwa unakuta sio rika yako,hata Ile ya kuku handle Kama kukudhibiti Fulani ya kike kwa me inakuwa ni ndogo, pia kukuwashia moto yaani pachimbike hakuna. Sema pia ni tabia ya mtu mkuu, Mana mie nilichaguliwa na familia yangu Kama NGOLO KANTE, Yuko zake France akawaambia home kwao wakamtafutia Kijijini kwao, ukipata amani ya moyo kuwa upo kwako na unafurahia kuishi kwako na mkeo shukuru mno. Wengine hawapati amani ndani kwa ndani Ila nje hapa unawaona wanapendeza
 
Trump ana Miaka 75 mke wake ana Miaka 37.
Hii imekaaje
Labda alioa akiwa kashazeeka maana ukipiga hesabu hapo maana yake alivyokuwa na miaka 50 mwanamke alikuwa na miaka 12 ambayo bado ni under age
 
kwahiyo sisi mlio tufokonyoa huko mashuleni na vyuoni tuolewe na wakina nani,,, acheni upuuzi
 
Back
Top Bottom