Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
Hawataki ukweli eti hapa wanataka wajifiche kuwa wana akili za maisha zile za kukombana kupelekana vikoba au?Wewe muda wako na wa mashangazi wengine umepita subirini vijana wa hovyo waje kwenu kujifua,kujipatia maujuzi na kufanya majaribio kadha wakadha hiyo ndio kazi pekee mliobakiza hapa duniani.
Usijipigie sana chapuo jua lishazama.Mwanamke huna cha kuoffer zaidi ya kusubiria kuhudumiwa kwasababu hiyo ndio asili.
Watoto wadogo wamewapita vingi na mwanaume anachotaka activeness na submission vitu ambavyo hawa wazee hawana. Narefer wazee yaani 33 plus.
Bitter souls.