Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Haha mkuu umenasa hapo. Mimi ningeenda hardware poa kabisa maana na 10m unaweza kuanza na vitu vya msingi tu rangi, misumari, saruji ndogo ndogo zinauzika kila siku. Pharmacy inahitaji vifaa na dawa ghali, kiwanja ni poa lakn faida yake ni long-term. Anza hardware, ukiingiza hela kidogo kidogo ndo ununue kiwanja kama backup. Siku hizi kila mtu anajenga, hardware haina kufa kweli. bana
 
Unaacha kazi kwanini?
 
Na zaidi.

Kuna mtu anataka kunirudishia 5m aliyokopa nimemuambia asubiri kidogo, sina pa kuiweka sasa hivi kote kumejaa.

For real.

Umenidogosha sana mpaka nashindwa kujibu.
Njoo bas ununue kiwanja
 
Kama Kuna jambo ungelisema hapahapa kaka ili tufahamu kwanza Lina husu Nini alafu mamboengine yafuate ni jambo jema kaka zungumza hapa mkuu, feel sorry sana
Mimi nina mpango wa kuanza muziki pia mwanzoni mwa mwaka ujao so nilitaka tubadilishane contacts kwa ajili ya kupigana tafu hapa na pale kwenye masuala yetu ya muziki.
I am a songwriter,singer and a bit dancer too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…