Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

Pharmacy ya 10?? Walau 20M+, Pia kuwa makini kabla hujafungia pharmacy kumbuka utatumia cheti cha mfamasia na utatakiwa kumlipa 900k- 1M kila mwezi

Mimi ningekushauri hiyo hela nenda katavi huko ukalime hata Kwa Ng,ombe
 
Pharmacy ya 10?? Walau 20M+, Pia kuwa makini kabla hujafungia pharmacy kumbuka utatumia cheti cha mfamasia na utatakiwa kumlipa 900k- 1M kila mwezi

Mimi ningekushauri hiyo hela nenda katavi huko ukalime hata Kwa Ng,ombe
Famasia wote waliojaa mtaani ndio umlipe laki 9?
 
Usiache kazi. Kuza mtaji ukiwa kazini.
 
Kama una vigezo vyote vya kufungua duka na utakwepo muda wote basi nakushauri anza na mini pharmacy/duka la dawa...kuna faida kubwa sana kwenye hiyo biashara ila tafuta location yenye demand na huduma unayotoadawa .
Yanaitwa maduka ya dawa muhimu (DLDM) milion 10 inatosha na chenchi ya kutosha inabaki . Lakini sio pharmacy ya retail au wholesale
 
10m kwa hardware binafsi sikushauri, haitoshi. Labda uwekeze kwenye item moja tu, mfano unaweza kusema ujikite kwenye electrical products tu. Lakini kuwekeza kwenye hardware kwa ujumla sikushauri.
 
Mbona unajibu kwa nyodo utafikiri ushatoboa? Huyo underground mwenzio anataka ku link unaleta poozi na we tuma IG yako tuone kama una potential tuwekeze pesa ss.
Duh, hapo nyodo ipo wapi? Alafu mkuu samahan sihitaji hela ya mtu kwenye MZIKI wangu mana naona kama inataka kuwa fimbo ya kunipigia, SIPO tayari kaka asante
 
Uzi mzuri sana ila nilichojifunza biashara zina wenyewe, me heri nitafute chombo cha usafirishaji iwe bajaji, guta, kuongeza pesa kidogo kirikuu, boda kadhaa etc biashara ya kuuza item Moja Moja mweupe kabisa

Kuna mtu kashauri fanya unachopenda yes me napenda kuhudumia usafiri. Madam umesema unapenda hardware Kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…