Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Sio lazima aweke zote! Anaweka mdogo mdogo na analipa kwa installment, mfano gari moja anaweza akailipa full nyingine akailipia kama mkopo mpaka anamaliza
 
Somo lime elewekaa.
 
Moja ya wezi ni wewe kwenye njia ya kudeposit kwa watu, Though okay, ila haiwezekani. Maana hela inatoka kwa mtu mmoja kwenda kwa wengi bado hela ipo na risk ya kupotea na mimi kukamatwa.
Njia rahisi zaidi.
1. Kwanza omba kibali cha kuishi zaid, yaani hata miaka 2 hivi.
2. Hatua ya pili sasa wasiliana na mtu wa nyumbani akufufulie akaunti yako.
3. Banki unaruhusiwa kudeposit kiwango chochote cha pesa kwa maelezo machache tu.
4. Utaamua kila mwezi unadeposit let say USD 40,000.
5. Utafanya hivyo kwa miezi 12 tu then mwaka wa pili unaanza safari ya kurudi home.
 
Jifanye mwekezaji kwenye shughuli za kilimo. Kwa mfano home mna mashamba, nunua zana za Kilimo ukifika TZ unauza unapata mpunga wako!
 
Tatizo ni kuwa amesema fedha anayo cash, yaani haiko benki (atleast ndivyo nilivyoelewa). Kwa hiyo kama yupo eg USA au Ulaya itabidi azipeleke benki kwanza ili aweze kufanya manunuzi nje ya alipo. Na wakati wa kuzipeleka benki hapo alipo ndipo kimbembe kilipo. Ataulizwa umezitoa wapi wakati amesema hana maelezo ya kueleweka.
 
Na akiziweka kwenye ac moja pia kazi anayo
 
kwa wasomali inawezekana wakaaminika kule, manake wana migahawa ulaya huko, ukipitishia kwao na wakakukata kamisheni fulani, na huku bongo wana wasomali wenzao, labda.
 
Kama ni mimi naingia kwenye website ya kiwanda kabisa naagiza brand new trucks na hizo installment nafanyia kiwandani hukohuko sihitaji mtu wa kati
unaingia kwenye website, unabofya gari au chochote, utahitaji kulipa pesa online, ili pesa ilipwe online inatakiwa kuwepo kwenye benki, wewe haipo bank hiyo pesa unayo cash home, utalipaje? na ukipeleka hizo cash bank ili ziwepo kwenye mfumo watakushtukia. wabongo wengi sana hawana uelewa na mifumo ya kipesa ya nchi zilizoendelea.
 
chukua tu $40,000 cash peleka kudeposit bank ulaya, utashtukiwa. binafsi, nilipofungua account tu ya kawaida, kwanza kabisa maswali niliyokutana nayo ni, lengo lako la kufungua account ni nini?
 
Sio lazima aweke pesa yote bank! Yeye anaweka mdogo mdogo kadiri anavyofanya manunuzi, na manunuzi mengine analipa mdogo mdogo
 
kwa wa
Hapo nimekupata! Ila sizani kama kama akiamua kuweka pesa bank mdogo mdogo ya kufanya malipo mdogo mdogo mpaka ziishe! Anaweka pesa ya kulipa unit moja ya bidhaa kwa installment anaenda na mtindo huo mpaka anamaliza zoezi
hapo anatakiwa kuongoea na wasomali, wapo wengi ulaya na wana migahawa, na wasomali wanajua sana magendo, wao kwasababu wanajihusisha na shughuli kadhaa wanaweza kuaminiwa kwa kiasi fulani kwamba kwenye mikahawa yao au maduka yao wanaweza kuaccumulate cash mkononi badala ya kulipa kwa card. bank watazipokea, na kuzituma huku, na huku bongo utazipokelea toka kwenye account ya wasomali wenzao wakupatie wewe, na hapa bongo pia wakiona pesa zinatoka kwa msomali, lazima ziwe na justification manake wanajua al shababu ni ya wasomali, shida tupu. aende tu akazitupe church penginge zitasaidia watu na yeye hataenda jela, manake ulaya ukikutwa na kosa hilo unaenda jela na pesa wananyang'anya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…