Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Nakazia
 
Zama zetu kulikuwa na unafuu, ndiyo maana tumeendelea kuzeeka pamoja na Bibi zenu.

Marahaba though 🙏
 
Ningeishi zama zenu ningeoa mapema sana.

Mtibeli anasema hakuna kilichobadilika kwa hawa wanawake wa sasa. Hawa kwa walio wengi wanapenda sana fedha na mali. Ni lazima uwe umejipata ili uweze kupata angalau atakae kuvumilia vinginevyo ni maumivu.
 
😀
Mkuu mwanamke uliyempata ukiwa umejipata hakuvumilii isipokuwa mara nyingi ndio huleta dhana ya Wakataa ndoa kuwa ni utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…