Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Watu hawabadiliki Mkuu.
Kinachobadilika ni vitu vinavyotengenezwa na hao Watu.

Nimeishi kwenye ukoo wenye wazee wengi. Mdogo kabisa anamiaka 82 ambaye ni bibiangu mzaa Mama.
Kwa kukaa nao nimejiridhisha pasi na shaka kuwa Binadamu ni yuleyule.
 
Watu ni wale wale ila tabia hubadilika kutokana na zama na vitu vyake.
 
Hii ilikuwa option nzuri lakini kwa siku hizi vijana wengi hawana hao wazee wa kuwachagulia Mke achilia mbali kupewa ushauri.
 
labda wanawake wa zamani lakin kama hawa wa sikuizi uoe na huna kitu chamoto utakiona. Dharau, dharau, dharau. Vijana tafuteni maokoto ndio muoe no money no marriage bila hivo utapata tabu sana.
Otherwise ataishi na ww lkn unachapiwa mchana kweupe
 
Watu ni wale wale ila tabia hubadilika kutokana na zama na vitu vyake.

Tabia gani ambazo zinabadilika au ni tabia gani mpya ambayo siku hizi ipo ila zamani haikuwepo.

Zipo tabia za kíjadi, hizo zipo kijijini na zipo kwa jamii yenye asili moja au kabila moja.

Zipo tabia za mjini. Hizi ni tabia mchanganyiko. Kutokana na muingiliano wa Watu.

Sasa hapo nafikiri ndipo unapochanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…