Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚Tungoje Majibu Wanalala Wanaamka Mpaka Uzee


Ntakupa short story about my father

Mzee wangu kaoa akiwa na miaka 33

Amekaa na MAMA mika 8 mfulilizo

Ndani ya muda huu mzee wangu alipata watoto 3 wote wa kiume

Alipofikisha mika 41 -aliamua kuondoka kwenda kujaribu fursa mikoani na akafanikiwa kuja kukaa Arusha na baadae DSM

So mpaka Ana fikisha 68 alikuwa hayupo nyumbani .

Mzee wetu hakupenda kuoa Ila aliwekeza kwenye kufanya Kazi na kutusomesha sisi hadi tukatoboa.
 


Sema don't decline ur responsibility
 
Na MTU akikosa kushukuru lazima maisha yatakuwa hayana ladha tena.
Maza wako na huyo wanafanania kabisa na Mzee yeye hana tatizo ni mkimya kweli ila mke jamani kichomiii na hapo ndo mlokole sasa, hiyo ya zongo ndo mbaya kuliko sitakagi jambo langu alijue ana nuksi ni balaa sababu ya kujaza wivu ule mkali yani roho ikimuuma kwa jambo zuri la mtu basi kitakwama tu
 
Kumbe zile akili za ajabu ajabu umerithi. Pole sana.
 

Kabisa mkuu - inaumiza kuona MTU Ana kila kitu kizuri Ila analalamika kila wakati .


Na mbaya zaidi sisi sote wakati tunaishi naye maisha yetu yalikuwa ni mikosi na matatizo tu.


Huwa najiuliza au ana laana she is cursed
Au yupo possessed by demons


Yaani kipindi cha mavuno yeye ndo analeta vurugu
 
Na inaumiza zaidi kama hivyo ni mama mzazi, na hii kitu ni ya kuzaliwa nayo sio uchawi wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…