Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Mama yng aliwahi mwambia mwanamke wng eti aibe soksi yng ambayo nimeivaa na haijafuliwa au nguo ambayo nimevaa na haijafuliwa ampelekee sjajua mama alikuwa na lengo gn at all bt anaamin sn waganga.
Balaa.

Mimi niliwahi kwenda ugenini kwa mashangazi nikakuta boksa zangu tatu zimechanwa na kiwembe kwa mbele sehemu ya uume halafu kile kitambaa walichochana wakakichukua.

Yaani zmechanwa vizuri sana kitaalamu halafu zikarudishiwa ndani ya begi na zipu likafungwa vizuri.

Kuuliza waliruka futi mia, oooh sisi sio wachawi!

Majitu mabaya sana yale. NI WACHAWI HATAREEEEE.

Unaweza kushangaa unapata mabalaa kumbe watu wameifunga soksi yako makaburini. NASTY.
 
Bufa maneno hayo yote na kwenu hukanyagi
 
Ni kujitahidi kufunga mdomo sana yani wakose taarifa, hii ndo dawa ya uhakika
Najitahidi sana kuishi humo aisee.

Wakati fulani nilinunua asset fulani isiyohamishika na shahidi yangu alikuwa ni ndugu yangu fulani, cha ajabu huyo ndugu akaja kulalamika kwamba kwanini sikumpa pesa hata kidogo as if kuna biashara nilikuwa nafanya inayoniletea pesa, nikabaki na mshangao hadi leo.
 
Ndugu wengi wanoko sana wamejaa husda hakufurahishwa na wewe kununua hiyo asset
 
 
Ni vema ukajua si kila mtu humu ndani amefanana maisha, hiyo generilization ni mbovu sana. Kila mtu ana unique na matokeo unique kwa life style anayoishi. So matokeo au changamoto zake hazifanani na zako na hazitokuwa na solution kama yako
 
Huyo hakuwa mke sahihi kwa mzee wako kitambo tu!..., sema mzee wako alikuwa na subra na alikielewa chombo, akaamini atabadilika ila ndo hivyo ilikuwa ishapangwa hao ndo kuwa wazazi wako. Huwezi kulaani kupangiwa wazazi na mwenyezi mungu.

Hapo subra tu
 
Ongeza na wajomba
Wajomba hawanaga noma... Labda wajomba zako wana uanamke ndani yao au wajomba zako wazigua wa tanga (wana kaushoga ndani yake)

Wajomba huwa proudly sana na wapwa zao... Wanatakaga umtoe basi wao roho burdaaaani! Na ukiwa na wajomba wanywaji we uwe unamnunulia kilauli tu uone jinsi atakavyokupa baraka zote 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…