Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

yap uko sawa kbs watu maisha yao yamefungwa unashangaa una kaz una biashara bt hutoboi majanga juu ya majanga tu.
 
ila huyu jamaa katakana
mama yake
 
ila hakiki
Ni kweli hakuna mama mbaya ila kuna wamama wachawi na washirikina pia... Tunapokuwa tunaangalia ubaya wa wengine huko nje... Tukumbuke kuwa hata katika familia zetu wapo tena wengi wa kutosha.... siku ukija kuwatambua utalia machozi....
sha uchawi wao haukuzur wala usiwachukie wapende
 
Wapo watakao kupinga ila mi ni shahidi wa yote hayo.

Harakati zangu zote za mafanikio hazikuwahi kufanikiwa kwa sababu nilikuwa nawahusisha babangu mzazi na mkewe ambae ni mamangu mlezi.

Baada ya kuona kila attempt nagonga mwamba tena dakika za majeruhi, basi nikabadilisha mbinu na kuamua kukaa kimya na kweli nikaanza kutoboa.

Baada ya kuonekana natoboa kiurahisi, yule mama mlezi akaanza kuwa mkali ila nikamdhibiti.

Baada ya kijitenga nao mambo yangu yamekuwa kitonga sana yaani
 
Kuna wengine hawataamini hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…